Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

2bb61df0-612a-4026-8e7d-0d1d441d8b13.jpg
 
Mtu mwenye pesa atakuwa na marafiki wengi lakini watakatifu itakuwa ngumu.

Awe milionea au trilionea hukumu yake iko pale pale.
 
Yule mchawi ye34nbe mwenye maisha magumu kishapiga dislike za kutosha
Anatafuta kuwa highest reaction score Member amkimbize Numbisa na Shimba ya Buyenze.... ndio adhima yake. Wenzie wanamchango wa maana ye anajinadi kwa ujinga ...kweli vipaji ni vingi. Ana force umaarufu.🤣
 
Back
Top Bottom