Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Ni ile inayotosheleza kutimiza mahitaji ya yeyote utakayempata.

Haya mambo yanaenda na levels hakuna kiasi maalumu cha pesa nyingi. Kadri mahitaji yako na vigezo vya aina ya wanawake unaowataka vinavyoongezeka ndivyo pesa inayotakiwa kuwa nayo inavyoongezeka.

Yupo jamaa ana duka na bodaboda kijijini anakula kila ya mwanamke anayemtaka kisa anasifika kwa pesa nyingi lakini akiingia mjini anaambulia patupu
Haupo sahihi. Unawa underfear mno wanawake
 
Kuna kitu huwa najiuliza sana.

Manzi anaweza kusema yuko kwenye serious relationship ana mtu wake anampenda lakini ukianza kuangalia kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii hutaona alipost picha ya huyo mtu wake au picha yao ya pamoja

Yaani utakuta ni picha za huyo mdada peke yake au na rafiki zake wa kike au watu wa familia na zingine

Sasa huwa najiuliza sio kwamba wanakuwa na washikaji zaidi ya mmoja na wote anatoka nao na anakula pesa zao ndo vile anaogopa akiwa anampost mmoja kuwa mpenzi wake atawapoteza wengine?

Kwa nini wengi hukosa uhuru wa kufanya hivyo? Sio wote ila asilimia kubwa wako hivyo. Hii imekaaje?
 
Haupo sahihi. Unawa underfear mno wanawake
Usahihi wa kitu kwenye jambo hasa kwenye mahusiano unatofautiana baina ya mtu na mtu

Uliposema nawa underfear wanawawake unamaanisha nini? Tuanzie hapo [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom