Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Vijana wa hovyo endeleeni kutirirka😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haupo sahihi. Unawa underfear mno wanawakeNi ile inayotosheleza kutimiza mahitaji ya yeyote utakayempata.
Haya mambo yanaenda na levels hakuna kiasi maalumu cha pesa nyingi. Kadri mahitaji yako na vigezo vya aina ya wanawake unaowataka vinavyoongezeka ndivyo pesa inayotakiwa kuwa nayo inavyoongezeka.
Yupo jamaa ana duka na bodaboda kijijini anakula kila ya mwanamke anayemtaka kisa anasifika kwa pesa nyingi lakini akiingia mjini anaambulia patupu
Wanawake wote wanachojari ni Pesa zaidi sio kingine,Vijana wa hovyo endeleeni kutirirka😆
Kwann uisemee jinsia isiyokuhusu?MIMI mwanaume elewa wapo wanaovua chupi shida zikiwabana
Nawafahamu nje ndaniKwann uisemee jinsia isiyokuhusu?
Basi wewe mwanamkeNawafahamu nje ndani
Ah wapi..... Hujasema weweeNot only pesa. Na moyo ukukubali.
Moyo ukikataa, wewe na hela zako mtachacha.
nikweliUnahela alafu unanuka mdomo, utabaki na hela zako.
Money isn't everything
Tukutane site nikuonyeshe sio unaishia kuongea tu uvue nivue afu ujulikane Nani mwanamke km haujaondoka na ujauzito Mimi mwanamkeBasi wewe mwanamke
Usahihi wa kitu kwenye jambo hasa kwenye mahusiano unatofautiana baina ya mtu na mtuHaupo sahihi. Unawa underfear mno wanawake
Ndio maana mnazaa na kulea watoto sio wenu mkidhani pesa ni kila kitu. Wanawake ni wajanja sana.90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo.
Taarifa fupi ni hii.
Ndio mzitafute.Tusio na pesa tunapitia magumu jamani...
Naunga mkono hoja90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo.
Taarifa fupi ni hii.
Ndo uache kihelehele kujifanya unawajua wanawake wote.Tukutane site nikuonyeshe sio unaishia kuongea tu uvue nivue afu ujulikane Nani mwanamke km haujaondoka na ujauzito Mimi mwanamke
Naunga mkono hoja90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo.
Taarifa fupi ni hii.
Wajingawajinga harafu wanajifanya wajuajiNdio maana mnazaa na kulea watoto sio wenu mkidhani pesa ni kila kitu. Wanawake ni wajanja sana.
Hakuna mwanamke asiependa Pesa usijifanye kwanza ukikosa Pesa ya Taulo la kike tu kichwa kinakuuma hapo haujakosa Pesa ya kulaNdo uache kihelehele kujifanya unawajua wanawake wote.
[emoji1787][emoji1787]90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo.
Taarifa fupi ni hii.