Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

pesa sabuni ya roho
Kwenye Ngoma ya Zali la Mentali

Jay anakutana na Viki pale Somora Avenue

Viki anamwambia: Masikini Pole Sana mzigo mbona mzito kweli utafika nao salama ?

Jay anatabasamu kisha anamjibu : Ohhh nimeshazoea mama na namshukuru Mwenyezi Mungu kwani hii ni km karama,

Anakuwa mnyonge anang'ata kucha anantazama
Anaaza kulia anatoa lesso anainama
Namwambia, "bibie ni mara ya pili tunaonana
Na sidhani kama ni mbaya iwapo tukifahamiana"

"Naitwa Vicky nna miaka 22,
Ni mtoto wa kipekee kwenye familia ya kitajiri"

"Oh naitwa Jay ukiniita fukara haukosei
Na naishi kwa nguvu za macho siku zenyewe hazisogei"

Alishuka toka garini na kusema "Jay nakupenda"
Akaruka kwangu mdomoni na kuanza kupata denda

Nilichomoka kwake na kuanza kurudi nyuma
"Tafadhali mpenzi Jay jamani nionee huruma
Acha kubeba mizigo panda ndani kwenye mchuma
Twende Mbezi Beach kwangu upepo unapovuma"

"Sikiliza Vicky napenda tuwe marafiki
Lakini hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki
Hata wazazi wako naaamini hawataafiki
Tajiri na tajiri, maskini sithaminiki
Tafuta kibopa mwenzio ili usishushe hadhi yako
Mimi sistahili hata kuwa kijakazi wako"

"Tafadhali Jay usitamke maneno hayo
Naomba unielewe haya machache niyasemayo
Hadi huu wakati mimi nimekupenda kwa dhati
Ukikubali niwe wako nitajiita mwenye bahati"

"Nimeelewa Vicky naomba niwahishe mzigo
Tajiri ni mkorofi anansubiri Migomigo
Na kila nikichelewa mwenzako napata kipigo
Nasaga na rumba jua na mvua kwa mpigo"

Tuliongea mengi akanipa hela za matumizi
Sikuwahi hata kuziona nilikuwa kama chizi
Niliacha kubeba mizigo penzi letu likaota mizizi
Watu wa uswahili wakasema natumia kizizi

Zali la Mentali - Prof Jay ft J Nature & Muny
 
Kuna mwanamke akimuona mwanaume wa aina fulani mbele yake tu tayari ameshalowa kitamboooo. Hakunaga formula maalumu mkuu. Ila pesa ni muhimu kuitafuta ili ikupe urahisi wa kutimiza hayo yote. Maana unaweza pendwa ukakosa pesa ya kumtunza au kumpeleka hata Lodge tukiachana na Hotel
Aiseee
 
Wako wengi huku mtaani wamehamishia mapenzi kwenye pombe baada ya aliyempa kila kitu kuanzisha mahusiano na muuza butcher anayempa nyongeza ya utumbo.
ila bro we ni mpana sana .... endelea kushusha nondo
 
Back
Top Bottom