Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Aiseeeh! Vijana mtaoa kweli?

Bibi yenu na vishanga vyake ananipagawisha mimi .....

Zamani Muda wa kula huvaa na kuniambia "fanya hivi,vuta hivi,shika hivi" tukiwa mikao tofauti ila sasa nimezoea hadi tunakata muda mwingine na naenda kumnunulia namvisha kabisa!
 
Unachapiwa sana mkuu
 
Siyo waoaji tu hata kwa faida ya wote, vaa double condoms ukikutana na hizo vichwa.
 
Hii laki saba nunua mbuzi wanne, majike matatu dume mmoja....baada ya miezi sita una mbuzi kumi.

Kataa ndoa
Kuna uzi mmoja nilikuta wanabishana kuna upande mmoja unasema Evelyn Salt ni mtu na heshima zake ila kuna wengine wakawa wanakataa..

Leo nimejua sasa ukweli ni upi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siyo waoaji tu hata kwa faida ya wote, vaa double condoms ukikutana na hizo vichwa.
 
Katoboa masikio mara mbili au tatu. Anapaka wanja mtindo wowote, anapaka rangi macho, anapaka lipstick ya kijivu au nyeusi.
 
Anaomba hela muda wote red flag
 
Wanao vaa shanga nawaonaga kama wachawi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…