Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Kuna kitu kinafikirisha kutoka kwa mleta mada na waletewa mada.Hivi mleta mada umejiuliza maswali haya ,Hapo mtaani,kazini,kanisani,Msikitini Hujamuona wa kuzaa nae kweli?je uko Bikra yaani hujawahi kuwA na mahusiano? je huoni hili Tangazo lako linakuonyesha jinsi gani haustahiri kupata mwanaume mwenye vigezo tajwa? kwa kuwa nawaza kama Mama anatafuta Baba wa mtoto mitandaoni itakuwa sio fear kwa mtoto ninavyojua kuna watu kama 100 wana vigezo kama unavyovitaka kwa hiyo uwezekano wa kuliwa na midume zaidi ya mmoja ni uwakika,Kwa vigezo ulivyovitaja kwanza inatakiwa wewe Umlipe pesa huyo mwanaume vinginevyo huna tofauti na wanawake wengine wanaotafuta unafuu wa maisha kupitia Wanaume na nimalize kwa kusema wewe hujitambui tegemea kupata mwanaume hasiyejitambua kama wewe.
 
Dada Mungu akupe sawa sawa na mahitaji ya moyo wako ikiwezekana na kuzidi

But Makosa Yale Yale yaliyokufikisha 3rd floor bila mtoto wala mahusiano ya kueleweka ndyo unaendelea nayo , Tukutane 40 when life begin ....
Mungu ampe mtoto kupitia uzinzi? Tena anataja hadi mume wa mtu? Tusimdhihaki Mungu.
 
Dada Mungu akupe sawa sawa na mahitaji ya moyo wako ikiwezekana na kuzidi

But Makosa Yale Yale yaliyokufikisha 3rd floor bila mtoto wala mahusiano ya kueleweka ndyo unaendelea nayo , Tukutane 40 when life begin ....
Acha aendelee na Machaguo
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom

Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Wow.
 
Hawa watu ni madarali wanawatafutia wadada wanaotafuta kuzaa na huyo muhitaji ndio anatoa hivyo vigezo wengi mnaweza kudhani kuwa huyu ndie muhitaji amkeni wazee Dunia ishabadilika hii zama zimebadilika...
 
Back
Top Bottom