Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

Talaka inasaidia sana!ndoa ni huruma na mapenzi hvyo vikiisha ndo mtu anafanya mambo ya kutisha km hayo!kiukweli inasikitisha sana!
Ifike mda watu wapeane talaka kirahisi kusowe na mlolongo mrefu wa talaka

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Yaan ni ukatili wa hali ya juu mama wa mume ni sawa na mama mzazi kabisa kaka ilitakiwa mke ajishushe tu ampotezee na amjali maana watu wakizeeka ni wasumbufu unamchukulia kama mtoto tu
Sasa hapo mume hatompenda tena
Kaharibu maisha yake kwa hasira
Mjinga huyo Dada na hakumpenda mwanaume na wasukuma walivyo mazoba ktk kupenda,wamama wa kisukuma pia ni wakwe wazuri sana!
Huyo Dada mi ningemuua kwa mkono wangu mwenyewe

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Aliye fanya tukio ni mnyakyusa

Eneo la tukio ndo Kanda ya ziwa.
Kwani tukio la juzi si kafanya mzungu pori ila kwakuwa limefanyika moshi wakalaumiwa wachaga
 
Wanaume wa Kisukuma yakipenda yanakua malofa sana!yanathamini mke kuliko mama!ona sasa amepoteza mzazi kizembee kabisaa..
Kwa hali ilivyo Dada inaonekana alikua na sauti kuliko mwanaume ktk nyumba!
Yaani mwanamke anapataje ujasiri wa kumkataa mkwewe?!!huyo mwanaume hajitambui kabisaa!mwanaume lofa kabisaa!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wanyakyusa Wana kiburi na jeuri kwa kiwango cha pekee duniani , sio rahisi kiwaelewa kwa namna wanavyoongea unaweza kuhisi ni malaika.Watch out
 
Ndoa za Kiislam kwa maoni yangu ni the best practice of matrimonial life.
Hata ukienda mahakamani mashauri mengi ya talaka ni ya ndoa za Kikristo
Mkuu, kwa uelewa wangu mdogo, ndoa ni za Serikali.
Madhehebu ni wawakilishi waSerikali tu.
Ndoa ni sawa kabisa na usajili wa vizazi na vifo.
Ndoa halali, kuachana ni mpaka Mahakamani!
 
Haya ndio matatuzo ya wanaume kuendekeza mbususu ova mama mzazi. Yaani mke anleta fyatu fyatu kuhusu mama huyo ni kupiga talaka asepe na mbususu yake
 
Yaan ni ukatili wa hali ya juu mama wa mume ni sawa na mama mzazi kabisa kaka ilitakiwa mke ajishushe tu ampotezee na amjali maana watu wakizeeka ni wasumbufu unamchukulia kama mtoto tu
Sasa hapo mume hatompenda tena
Kaharibu maisha yake kwa hasira
Hatompenda au ndo habar Imeisha hapo?
 
Duh huyo dada ana roho mbaya, unamuua mama aliyekuzalia huyo unayemwita honey,darling.🤔 bila yeye ungempata wapi?

CV yetu wanyakyusa inazidi kuharibika sababu ya mjinga mmoja, ngoja akafie jela na huyo mume amkose sasa.
 
Mkuu, siku hizi kumwacha mwanamke kwa njia hiyo ni ngumu sana.
Weka akilini, ukishaoa tu, vyote ulivyonavyo ni vyenu si
vyako.
Hivyo unapoamua kuachana naye wewe ndiye unayefungasha virago, si yeye!
Mweee ngimba nkamu gwitu ngoghi, nga menye une
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…