Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

Huyu mwanamke wa Mbeya amefundishwa wapi huu unyama ?
 
Unayo hoja
 
Lakina Bujibuji mbona bibie katika huko Mbeya, kunani huko?
 
Mimi ni mkristo ila ndoa za kiislam ni nzuri sana mtu akizingua taraka nje nje unaepusha mabalaa mapemaaaa,ila sisi wakristo ndoa mpka kifo mtu anakuletea mauzauza upuuzi mwingi vitu vinakukaa moyoni mwisho wa usiku uvumilivu ukiisha utasikia mtu amechinjwa
 
Jamani kwa hali ilipofikia kila mtu aoe kwao.
 
Haya ndio matatuzo ya wanaume kuendekeza mbususu ova mama mzazi. Yaani mke anleta fyatu fyatu kuhusu mama huyo ni kupiga talaka asepe na mbususu yake
Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa na mtu mwenye mali wanaanza ushirikina hayo yote ili umsikilize kila anachokwambia anakufanya anavyotaka.
 
Utu
 
Kwa sahabu wao ndoa zao sio kifungo cha maisha, mkizinguana kila mtu anashika njia yake tofauti na huku kwetu tunakoambiwa mpaka kifo kiwatenganishe
 
Mkuu, kwa uelewa wangu mdogo, ndoa ni za Serikali.
Madhehebu ni wawakilishi waSerikali tu.
Ndoa ni sawa kabisa na usajili wa vizazi na vifo.
Ndoa halali, kuachana ni mpaka Mahakamani!
Mkuu, ukitaka twende kwa mtindo huo nitakuambia ndoa ni ya wanandoa. Serikali jukumu lake ni kuzisajili tu. So hata wanandoa wakishindwana serikali haiwalazimishi kuendelea kuishi pamoja. Wanandoa wakiachana serikali itasajili tu ile talaka.
By the way kuna kifungu chochote katika Law of Marriage Act kinachosema ndoa ni ya serikali? Or any case law to that effect?
 
Afu tukio hilo ni kuhusu relationship ko haliwezi kuwa story.

Angekuwa mchaga kafanya story zingekuwa mingi Kwa sababu inguhusisha maswala ya pesa na Mali.
Wachagga wanaua Mama zao ili wapate pesa. Mungu anawaona , acheni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…