Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yesu mulimuua kwa shutuma hizo hizo za kudai anajiita mara Mungu mara Mfalme n.k. Sometimes Mungu anajambo lake kupitia Diana ila walimwengu na himaya zenu za kishetani mnahakikisha Mungu hapati nafasi.Yule sio mjumbe wa Mungu Bali yeye ndio mungu. Fuatilia Imani yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mmepinda aiseeApigwe miti pale Butimba
FGMDah waliminye hata clitors tu kama vp
Huku ni kumuonea Zumaridi.
Zoezi lifanyike nchi nzima..Mi naomba hilo zoezi liendelee na makanisa mengine pia isiwe huko mwanza tuu kuna makanisa kuna raia wakigeni kibao wako kwenye kivuki cha "watumishi"kumbe ni njia ya kuishi nchini kinyume na sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mkuu, sio kwamba jengo liliuzwa kwa Zuberi bali jengo lilikuwa la Zuberi na huyo Baba Gody akaling'ang'ania huku akiaminisha waumini wake eti lile ni eneo ambalo ameoneshwa ktk maono.......waliondolewa pale kwa mbinde sana ilitumika nguvu kubwa kama vile YUKREIN vs URUSIKanisa lilihama toka nata lipo kangae baada ya jengo la natta kuuzwa kwa zuberi.
Bill shaka hao Watu ndo wale hutolewa mmoja mmoja kwenye mikutano ya injili.
Kisha kutoa ushuhuda na kuaminisha Watu miujiza ipo[emoji848]
Naunga mkono hojaZoezi lifanyike nchi nzima..
Kuna miungu watu wengi wanajiita watumishi wa mungu. Wengi wao ni wahamiaji wenyeji wazawa wote hawa ni matapeli kwa kutumia neno 'mungu ' Wamewafanya wengi wamekuwa wapumbavu wamekuwa wavivu kufikiri na kufanya kazi. Umaskini umekithiri kwa sababu ya hawa miungu watu....
Ukienda Makete Ludewa Mbeya vijijini Iringa vijijini Njombe uende Uluguru Mlandizi Kibaha kuna wahubiri wengi wa uongo.. Mikoani humo kuna ya kustaabisha wengi wameanza kujiita mitume nk
Sasa huyu ni shwetani na mizimu ama?
Kuna Mama mmoja alikuwa porini huko naye aliwateka wengi wanaishi kama wanyama nadhani alikufa huyo mama lakini pia wafuasi wake waliugua sana malaria kichocho nk..
Kada wa ccm huyo wanamsingizia tu,yeye anafuga vichaa wake ili wamuigizie kutoa mapepoJeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17.
Pia soma
Hata yesu mulimuua kwa shutuma hizo hizo za kudai anajiita mara Mungu mara Mfalme n.k. Sometimes Mungu anajambo lake kupitia Diana ila walimwengu na himaya zenu za kishetani mnahakikisha Mungu hapati nafasi.
Unamaanisha nini hapoJata hiuo Human traffick ni uhini tu
Hizi cult ni mbaya sanaHuyo mfalme haijui serikali ya CCM.