Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

Kiongozi mwanamke wa kidini wa Mwanza anayejiita Mfalme Zimaridi Mungu chini ya Jua ashikiliwa na polisi kwa kosa la kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu 149 nje ya nchi

Source: Wapo radio taarifa ya habari ya saa Kumi
 
Yule sio mjumbe wa Mungu Bali yeye ndio mungu. Fuatilia Imani yake.
Hata yesu mulimuua kwa shutuma hizo hizo za kudai anajiita mara Mungu mara Mfalme n.k. Sometimes Mungu anajambo lake kupitia Diana ila walimwengu na himaya zenu za kishetani mnahakikisha Mungu hapati nafasi.
 
Mi naomba hilo zoezi liendelee na makanisa mengine pia isiwe huko mwanza tuu kuna makanisa kuna raia wakigeni kibao wako kwenye kivuki cha "watumishi"kumbe ni njia ya kuishi nchini kinyume na sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi lifanyike nchi nzima..
Kuna miungu watu wengi wanajiita watumishi wa mungu. Wengi wao ni wahamiaji wenyeji wazawa wote hawa ni matapeli kwa kutumia neno 'mungu ' Wamewafanya wengi wamekuwa wapumbavu wamekuwa wavivu kufikiri na kufanya kazi. Umaskini umekithiri kwa sababu ya hawa miungu watu....
Ukienda Makete Ludewa Mbeya vijijini Iringa vijijini Njombe uende Uluguru Mlandizi Kibaha kuna wahubiri wengi wa uongo.. Mikoani humo kuna ya kustaabisha wengi wameanza kujiita mitume nk

Sasa huyu ni shwetani na mizimu ama?

Kuna Mama mmoja alikuwa porini huko naye aliwateka wengi wanaishi kama wanyama nadhani alikufa huyo mama lakini pia wafuasi wake waliugua sana malaria kichocho nk..
 
Kanisa lilihama toka nata lipo kangae baada ya jengo la natta kuuzwa kwa zuberi.
Acha uongo mkuu, sio kwamba jengo liliuzwa kwa Zuberi bali jengo lilikuwa la Zuberi na huyo Baba Gody akaling'ang'ania huku akiaminisha waumini wake eti lile ni eneo ambalo ameoneshwa ktk maono.......waliondolewa pale kwa mbinde sana ilitumika nguvu kubwa kama vile YUKREIN vs URUSI
 
Zoezi lifanyike nchi nzima..
Kuna miungu watu wengi wanajiita watumishi wa mungu. Wengi wao ni wahamiaji wenyeji wazawa wote hawa ni matapeli kwa kutumia neno 'mungu ' Wamewafanya wengi wamekuwa wapumbavu wamekuwa wavivu kufikiri na kufanya kazi. Umaskini umekithiri kwa sababu ya hawa miungu watu....
Ukienda Makete Ludewa Mbeya vijijini Iringa vijijini Njombe uende Uluguru Mlandizi Kibaha kuna wahubiri wengi wa uongo.. Mikoani humo kuna ya kustaabisha wengi wameanza kujiita mitume nk

Sasa huyu ni shwetani na mizimu ama?

Kuna Mama mmoja alikuwa porini huko naye aliwateka wengi wanaishi kama wanyama nadhani alikufa huyo mama lakini pia wafuasi wake waliugua sana malaria kichocho nk..
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17.

Pia soma

Kada wa ccm huyo wanamsingizia tu,yeye anafuga vichaa wake ili wamuigizie kutoa mapepo
 
Hata yesu mulimuua kwa shutuma hizo hizo za kudai anajiita mara Mungu mara Mfalme n.k. Sometimes Mungu anajambo lake kupitia Diana ila walimwengu na himaya zenu za kishetani mnahakikisha Mungu hapati nafasi.

Usimfananishe Yesu Kristo na Nabii wa uongo. Kuzaliwa na kufa kwa Kristo kulitabiriwa mapema. Ndio maana kuna sehemu Yesu anaomba kikombe kiepushwe. Ilibidi afe kwa aajiri ya dhambi za watu wote ndio maana leo tunacheza kwenye neema. So kusurubiwa kwa Yesu kulikuwa Ni mpango wa Mungu tokea zamani na sio Jambo la kibinadamu, ndio maana Yesu aliomba akisema Baba wasamehe hawajui watendalo.

Mfalme Zumaridi anajiita mungu, sasa huoni anapingana na Mungu ambaye amesema mwanadamu asidiriki kuchukua utukufu wake?. Yesu alisema sio wote waniitao bwana bwana wataingia paradiso Bali Ni wale watendao mapenzi ya Mungu. Sasa Ni mapenzi ya Mungu mtumishi ujiite Mungu?.
 
Back
Top Bottom