Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

Wale mliokuwa mnahoji kuhusu "doublestandard " za mahakama ya ICC nafikiri ni muda muafaka tufunge huu mjadala!
Hakuna kitu watamfanya na hataenda... Sana Sana hao prosecutor wanaweza wakafa wao..

Netanyao aliwaonya ..wasijaribu mfungulia mashtaka..

Ni hatari mnoo. Who is behind Netanyahu ? Who is behind Israel!?
 
Sasa anamuomba nani?
 
Hakuna wa kumkamata Netanyahu hapo huyo PP wa ICC anatafuta publicity tu. Hao magaidi ndio inatakiwa wakamatwe kwa kuivamia Israel na kuua na kuteka raia wasio na hatia.

Pia wameshindwa kumkamata dikteta Putin kwa kuamrisha mauaji ya halaiki nchini Ukraine, hata Al Bashir wameshindwa kumkamata pia. ICC ni bure kabisa.
 
Niliwapa hiyo kazi mossad wamuulze ibrahim raisi na yule mwenzake wa kola za mao.

1. Kumbe ulimpa kazi nani kumhusu General Ogolla, Kuwa ulimwuliza nani akamwulize?

2. Wacheni kujishasha na vifo vya watu kama vile nyie ni immortal, mbuzi m*me nyie.
 
1. Kumbe ulimpa kazi nani kumhusu General Ogolla, Kuwa ulimwuliza nani akamwulize?

2. Wacheni kujishasha na vifo vya watu kama vile nyie ni immortal, mbuzi m*me nyie.
Kituo kifuatacho Yahya Sinwar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…