data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Hakuna kitu watamfanya na hataenda... Sana Sana hao prosecutor wanaweza wakafa wao..Wale mliokuwa mnahoji kuhusu "doublestandard " za mahakama ya ICC nafikiri ni muda muafaka tufunge huu mjadala!
Netanyao aliwaonya ..wasijaribu mfungulia mashtaka..
Ni hatari mnoo. Who is behind Netanyahu ? Who is behind Israel!?