Huu mwenge wa uhuru hauna faida yoyote kwa matendo yaliyopo ndani ya serikali ya ccm, hapa Tabora mjini wanafunzi wa shule za msingi hawasomi vipindi vyote tangu mwezi wa 7 mwaka huu wanafunzi wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye wa shule ya sekondari ya Alhasan mwinyi iliyopo tabora mjini eti wanajiandaa na mazoezi ili wajewashereshee siku ya kuzima mwenge hapo 14, 10,2014 mwenge utazimwa mkoani tabora na mkuu wa kaya ila wanafunzi toka familia za walala hoi ndio wanaofanya hayo mazoezi jamani hii nchi ina maajabu kweli, huku wizi,rushwa , magendo,ukosefu wa haki ,umaskini uliokidhiri ila pesa za mwenge zipo , wakati sekta zingine hazina bajeti ya kutosha , mwenge huu hauna lolote kwa matendo yaliyopo sasa nchi chini ya serikali ya ccm