Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
Unajua maana ya neno "changamoto"?
 
Wizi mtupu mwenge n kama kigodoro
Ukimwi
Ulevi na
Ubadhirifu WA kodi zetu fungia km vigodoro
 
Ukipita fedha ya yote ya OC inaliwa,siku zote wilayani ofisi zinafungwa!wakuu wa wilaya,wakurugenzi wanachanganyikiwa Mwenge usiwapitie,hofu tupu na frastration maofisini!
Matumizi ya dharura na ufisadi unapitia humo maana matumizi hayana ukaguzi. Uwekwe makumbusho na uwashwe tu siku ya uhuru!
 
Pundit na Nikifufukammekwisha nawaunga mkono: kuna vitu vilishakuwa na Umuhimu miaka hiyo inabidi sasa hivi tujali muda kwa maana ya Time, na resource (gharama). Kuliko kufanya vitu kama ibada. Dunia ya utandawazi inachangamoto nyingi sana, tunaweza kuunda kitu cha kutuunganisha na sio hii kitu inayoitwa mwenge. Hii ni ibada ya sanamu.
Vijana wa leo ama kama nitakuwa sijatumia lugha nzuri niseme kizazi cha leo kina changamoto ambazo zinaendana sana na utandawazi. Sasa kurudishana nyuma kwenye fikra za mwaka 47 inakuwa howcome.
Hata huu muungano: Ni wakati tuujadili kama tunauhitaji kwani Uingereza yenyewe tangu mwaka 400, wameona muungano huu wao ni wakuujadili. Kuna vitu vilikuwa na thamani zamani lakini kwa dunia ya sasa ni chakavu kuwa navyo ikiwemo huu mwenge. Kama kizazi cha leo kimeshapoteza hamu ya kuendelea kuwa pamoja (Muungano) na huu mwenge tunatakiwa tusibake demokrasia bali tujadili kuvunja. inashangaza watu wanachukua maandiko taratibu za waasisi kama vile ni torati hivyo haitakiwi kutanguka.kizazi cha leo Mwenge umeonekana hauna mashiko sana sana unaongeza gharama na muda, wengi huwa hatuvutiwi hata kwenda kuutazama, barcelona ikicheza na madrid najiskia kutoku ikosa mechi kuliko mwenge. iko haja kuujadili utokomee huko.inaf iz inaf

Tatizo naloliona kuhusiana na hii michakato ya kutangua torati ni kwamba baadhi wanadhani ikiondoka inatuondolea kujitambua na historia yetu lakini ukweli ni kuwa kuna watu wanakazana kuidumisha kwakuwa wanajua ikiondoka watapoteza tonge. Na hawako tayari maslahi yao ya binafsi kuondoka.
 
Ha ha ha!
Uachwe tu ili kila kiumbe ashuhudie "legacy" ya nyerere aliyowaachia Watanzania.
 
nina mashaka kama hata kodi unalipa
Mshahara Wangu unakatwa kodi bia inakatwa kodi na kila kitu hata nikinunua shati nakatwa kodi wasiwasi wako ni bure...
Karne hii kuzurura na hilo litochi na kufanya uzinzi.na mambo ya hovyo

pale Kuna chakula
MAlazi
per DM
Mafuta ,posho na blablabla
What for?

Fungia hiyo takataka makubusho.wizi kabisa
Ulaji WA watu wachache
Hizo budget za mwenge zingenunua vitanda kumi au madawati kadhaa
Lazma tuwe wabunifu .karne hii eti unanengua mitaani kwa kutumia hela za walipa kodi wako wenye taabu kibao???!!,
 
Huu mwenge wa uhuru hauna faida yoyote kwa matendo yaliyopo ndani ya serikali ya ccm, hapa Tabora mjini wanafunzi wa shule za msingi hawasomi vipindi vyote tangu mwezi wa 7 mwaka huu wanafunzi wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye wa shule ya sekondari ya Alhasan mwinyi iliyopo tabora mjini eti wanajiandaa na mazoezi ili wajewashereshee siku ya kuzima mwenge hapo 14, 10,2014 mwenge utazimwa mkoani tabora na mkuu wa kaya ila wanafunzi toka familia za walala hoi ndio wanaofanya hayo mazoezi jamani hii nchi ina maajabu kweli, huku wizi,rushwa , magendo,ukosefu wa haki ,umaskini uliokidhiri ila pesa za mwenge zipo , wakati sekta zingine hazina bajeti ya kutosha , mwenge huu hauna lolote kwa matendo yaliyopo sasa nchi chini ya serikali ya ccm
 
Whats the point ya kuwa na huu mwenge?

Je una ulazima gani?

Je unamnufaisha vipi mwananchi wa kawaida?

Je gharama zake ni kiasi gani kwa mwaka?

Hizo pesa zinatoka wapi?

Je serkali inachangia hizi pesa?> Kiasi gani?

Je wananchi wanayo haki ya kutoshiriki kwenye hizi sherehe?

Je tukiwa na devolved governance na baadhi ya counties zikakataa haya mambo watashtakiwa?

Je kila mwenge ukienda kwnye mikoa au wilaya serikali hukosa kiasi gani kwa sababu wafanya kazi wameenda kuupokea na kuuzima huu mwenge?


Je OPPOSITION tanzania wana misimamo gani kuhusu huu mwenge?

Je pesa zinazotumika kwa ajili ya mwenge kwa mwaka zinaweza kujenga hospitali ngapi?

Je zipo break down za shughuli nzima za mwenge? nazungumzia ma sub contractors wa uniform, mafuta, sim etc?
 
Nawasi wasi na maswali yako!Kajiangalie kwenye kioo,sidhani kama kuna Mtz asiye jua umuhimu wa mwenge,,,,hao opposition kwani wapo
 
kwa vile umezaliwa miaka hii ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ni vigum kuelewa DRC mpaka leo hawajuani na hawana Lugha moja.
Hebu hamia Rwanda au Somalia ukaone UNAGUZI WA DINI AU UKABILA
MWENGE uache ulivyo kwani hata usiposhiriki huwezi shitakiwa
na hata Upinzani hawajaanza leo liwa na nia ya kutawala alianza Mtukila akaja Sefu na CUF sasa Padri na ndoto bado kutawala km hawatawashirikisha Watanzania wote na vijiji vyote km mwenge unavyopita labda 2025
 
Nawasi wasi na maswali yako!Kajiangalie kwenye kioo,sidhani kama kuna Mtz asiye jua umuhimu wa mwenge,,,,hao opposition kwani wapo

Mwenge auna maana yoyote katika karne ya sayansi na teknolojia.karne ya madaraka mikoani rais wa kijiji ni mwenyekiti kwa niaba ya rais wa nchi.mashirika ya umma yako mpaka mashinani.et mwenge unapeleka ujumbe.radio zinafanya nini?? unazindua!! viongozi ngazi za chini wanafanya nini???Mwenge ni upotevu wa pesa za umma.

falsafa na ideology ya Mwenge aipo katika uhalisia katika nyakati hizi.et unaleta amani!!!per night????
 
Back
Top Bottom