Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Faida za mwenge ni kwa wale waliopo kwenye mchakato ya kuzungusha wao na Familia zaouacheni mwenge wa uhuru uendelee kuliangaza taifa.
Ndugu wadau naomba Kwa kina tujaribu kuliangalia suala la Mwenge kuendelea kuzunguuka nchi nzima huku zikitumika mamilioni ya fedha.Je faida ya Mwenge Kwa sasa ni nini? Vinginevyo ni vema fedha zinazotumika zikaelekezwa kwenye shughuli za kijamii k.m.kununua madawati madawa kujenga vyoo n.k.
Sikubaliani na ushawishi wako. Kama huo mradi unaofanyika hapo namtumbo ni million 2 na gharama za kukimbiza mwenge nchi nzima ni million 300 bado unawaza kuwa mwenge uendelee kukimbizwa? Mimi nilisoma shule ulizotaja lakini Ninaweza kupambanua kuwa mwenge ni jipu na lipasuliwe kabla halijauwa Uchumi wetu. Hela ya mwenge ipelekwe kununua madawati au dawa za hospitali.kama umezaliwa Kinondoni, ukakulia kinondoni umesomea Bunge, sekondari mzizima chuo IFM kazi umepata crdb tawi la millenium tower
wikiend bata mlimani city sijui bahari beach kamwe huwezi jua thamani ya Mwenge
mwenge tuulize sie tunaokaa wilayani Namtumbo
Kwa miaka kumi ya utawala wa JK kitu ambacho kimem boost sana JK angalau kuna sehemu ambazo ameonekana kafanya kazi ni MWENGE
kwa sababu mwenge unaharakisha sana miradi VIJIJINI ... mkisikia mradi fulani MWENGE unakuja kufungua utawaona ma dc, ded, na viongozi wa halmashauri na wilaya wanavyokimbizana kufanikisha mradi ule ili mwenge unavyokuja kufungua uwe tayari umekamilika
atlest viongozi walikuwa wanazionea haya pesa za miradi ambayo mwenge ulikuwa unakuja kuzindua
SOMWENGE UWEPO MIAKA 1000 na rais Magufuli aupe sana nguvu huu mwenge
Sikubaliani na ushawishi wako. Kama huo mradi unaofanyika hapo namtumbo ni million 2 na gharama za kukimbiza mwenge nchi nzima ni million 300 bado unawaza kuwa mwenge uendelee kukimbizwa? Mimi nilisoma shule ulizotaja lakini Ninaweza kupambanua kuwa mwenge ni jipu na lipasuliwe kabla halijauwa Uchumi wetu. Hela ya mwenge ipelekwe kununua madawati au dawa za hospitali.
tatizo watanzania mnaongea kama vile watoto wa chekechea hivi kuna miradi ya millioni 2 kweli..??
millioni 2 hata kisima bunju hauchimbi... hiyo si pesa ya kununulia bodaboda
kinachowafanya sie watanzania ni kuwa tunapenda sana kuonekana tunajua halafu tunaongea vitu bila ya kuwa tuna facts
hisia za kisiasa zisitufanye tuwe mbumbumbu tuwe tunapambanua mambo ilhali sie ni wasomi
ngoja nikusaidie baadhi ya mambo mwaka jana kwa maana 2015
MWENGE wa Uhuru katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara umekimbizwa urefu wa kilometa 362 na kukagua, kufungua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi tisa yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 2.2.
mwaka jana huo huo jumla ya miradi ya maendeleo yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 3kwa halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijini imezinduliwa
mwaka jana pia kule masasi miradi ya billioni 2.9 zilizinduliwa
mwaka juzi Miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 imezinduliwa katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro na Mwenge wa Uhuru
mwaka 2012 JUMLA ya miradi 9 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 291.7 imezinduliwa na kuwekwa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru uliokimbizwa katika wilaya mpya ya Momba mkoani Mbeya.
wewe unasema millioni 2 millioni mbili si bei ya piki piki ya Tvs hlx au boxer

kwani mkuu hiyo miradi lazima izunduliwe na mwenge?! hatuwezi kufanya na kuzindua miradi mpaka mwenge ufike?
Nikuulize wewe unayesema umeishi Namtumbo, Ruvuma.....hivi hapo Namtumbo ukiwa na milioni 2, wewe binafsi hakuna mradi unaweza ukafanya?! Milioni 2 mkoani, tena Namtumbo ambaye nimepata kukaa, ni pesa ndefu mno, mno😱
hivi kwanza unajua aina ya miradi ambayo Mwenge inaizindua kwanza?
tuanze hivi...
Miradi ya maendeleo, tuanzie hapa!!