Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
uacheni mwenge wa uhuru uendelee kuliangaza taifa.
Faida za mwenge ni kwa wale waliopo kwenye mchakato ya kuzungusha wao na Familia zao

halafu hasara

bajeti yake yake ukitajiwa unaweza lia
unaambukiza ukimwi
unaleta watoto wa mitaani
ni uharibifu na ubadhirifu wa pesa zetu... maana bajeti ya kukuzungusha ni mamilion unakuta unaenda kafungua za tundu tatu za Choo cha shule fulani huko bagamoyo. mchheeewwww weka pale makuumbusho ya taifa period
 
Last edited:
Suala la kusema mwenge uangaza Taifa mimi siafiki, Kwan it's like belief there is no direct effects pind mwenge uzungukapo Kwa wananchi pia kumbuka kutokana na nchi yetu kuwa kubwa siyo kwamba unakatisha kila kijiji, kuna vijiji vingine toka waone mwenge miaka ya 1990 mpaka leo hawajaona tena, je kama ni hivo kwann usipelekwe makumbusho badala yake tuandae siku maaluum ya kukumbuka as public holiday
 
Ndugu wadau,

Naomba kwa kina tujaribu kuliangalia suala la Mwenge kuendelea kuzunguuka nchi nzima huku zikitumika mamilioni ya fedha.

Je faida ya Mwenge kwa sasa ni nini? Vinginevyo ni vema fedha zinazotumika zikaelekezwa kwenye shughuli za kijamii kama kununua madawati madawa kujenga vyoo n.k.
 
Ndugu wadau naomba Kwa kina tujaribu kuliangalia suala la Mwenge kuendelea kuzunguuka nchi nzima huku zikitumika mamilioni ya fedha.Je faida ya Mwenge Kwa sasa ni nini? Vinginevyo ni vema fedha zinazotumika zikaelekezwa kwenye shughuli za kijamii k.m.kununua madawati madawa kujenga vyoo n.k.

kama umezaliwa Kinondoni, ukakulia kinondoni umesomea Bunge, sekondari mzizima chuo IFM kazi umepata crdb tawi la millenium tower

wikiend bata mlimani city sijui bahari beach kamwe huwezi jua thamani ya Mwenge

mwenge tuulize sie tunaokaa wilayani Namtumbo

Kwa miaka kumi ya utawala wa JK kitu ambacho kimem boost sana JK angalau kuna sehemu ambazo ameonekana kafanya kazi ni MWENGE

kwa sababu mwenge unaharakisha sana miradi VIJIJINI ... mkisikia mradi fulani MWENGE unakuja kufungua utawaona ma dc, ded, na viongozi wa halmashauri na wilaya wanavyokimbizana kufanikisha mradi ule ili mwenge unavyokuja kufungua uwe tayari umekamilika

atlest viongozi walikuwa wanazionea haya pesa za miradi ambayo mwenge ulikuwa unakuja kuzindua

SOMWENGE UWEPO MIAKA 1000 na rais Magufuli aupe sana nguvu huu mwenge
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mwenge iachwe kama ilivyo. Mambo mengine si lazima kujua.
 
Mwenge umekosa sifa na umekuwa ukisababisha ongezeko la maradhi yasiyotibika
 
kama umezaliwa Kinondoni, ukakulia kinondoni umesomea Bunge, sekondari mzizima chuo IFM kazi umepata crdb tawi la millenium tower

wikiend bata mlimani city sijui bahari beach kamwe huwezi jua thamani ya Mwenge

mwenge tuulize sie tunaokaa wilayani Namtumbo

Kwa miaka kumi ya utawala wa JK kitu ambacho kimem boost sana JK angalau kuna sehemu ambazo ameonekana kafanya kazi ni MWENGE

kwa sababu mwenge unaharakisha sana miradi VIJIJINI ... mkisikia mradi fulani MWENGE unakuja kufungua utawaona ma dc, ded, na viongozi wa halmashauri na wilaya wanavyokimbizana kufanikisha mradi ule ili mwenge unavyokuja kufungua uwe tayari umekamilika

atlest viongozi walikuwa wanazionea haya pesa za miradi ambayo mwenge ulikuwa unakuja kuzindua

SOMWENGE UWEPO MIAKA 1000 na rais Magufuli aupe sana nguvu huu mwenge
Sikubaliani na ushawishi wako. Kama huo mradi unaofanyika hapo namtumbo ni million 2 na gharama za kukimbiza mwenge nchi nzima ni million 300 bado unawaza kuwa mwenge uendelee kukimbizwa? Mimi nilisoma shule ulizotaja lakini Ninaweza kupambanua kuwa mwenge ni jipu na lipasuliwe kabla halijauwa Uchumi wetu. Hela ya mwenge ipelekwe kununua madawati au dawa za hospitali.
 
tatizo watanzania mnaongea kama vile watoto wa chekechea hivi kuna miradi ya millioni 2 kweli..??

millioni 2 hata kisima bunju hauchimbi... hiyo si pesa ya kununulia bodaboda
kinachowafanya sie watanzania ni kuwa tunapenda sana kuonekana tunajua halafu tunaongea vitu bila ya kuwa tuna facts

hisia za kisiasa zisitufanye tuwe mbumbumbu tuwe tunapambanua mambo ilhali sie ni wasomi

ngoja nikusaidie baadhi ya mambo mwaka jana kwa maana 2015

MWENGE wa Uhuru katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara umekimbizwa urefu wa kilometa 362 na kukagua, kufungua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi tisa yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 2.2.

mwaka jana huo huo jumla ya miradi ya maendeleo yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 3kwa halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijini imezinduliwa

mwaka jana pia kule masasi miradi ya billioni 2.9 zilizinduliwa

mwaka juzi Miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 imezinduliwa katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro na Mwenge wa Uhuru

mwaka 2012 JUMLA ya miradi 9 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 291.7 imezinduliwa na kuwekwa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru uliokimbizwa katika wilaya mpya ya Momba mkoani Mbeya.

wewe unasema millioni 2 millioni mbili si bei ya piki piki ya Tvs hlx au boxer

P5218342.jpg

  • Thanks
Reactions: bdo
Ningekua na uwezo mwenge ninge uchimbia shimo refu ambalo halijawahi kutokea ili kizazi kijacho baada yetu kisipate japo kuuona achilimbali kuusikia siupendi na haufai hata kidogo kuwepo
 
tatizo watanzania mnaongea kama vile watoto wa chekechea hivi kuna miradi ya millioni 2 kweli..??

millioni 2 hata kisima bunju hauchimbi... hiyo si pesa ya kununulia bodaboda
kinachowafanya sie watanzania ni kuwa tunapenda sana kuonekana tunajua halafu tunaongea vitu bila ya kuwa tuna facts

hisia za kisiasa zisitufanye tuwe mbumbumbu tuwe tunapambanua mambo ilhali sie ni wasomi

ngoja nikusaidie baadhi ya mambo mwaka jana kwa maana 2015

MWENGE wa Uhuru katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara umekimbizwa urefu wa kilometa 362 na kukagua, kufungua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi tisa yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 2.2.

mwaka jana huo huo jumla ya miradi ya maendeleo yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 3kwa halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijini imezinduliwa

mwaka jana pia kule masasi miradi ya billioni 2.9 zilizinduliwa

mwaka juzi Miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 imezinduliwa katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro na Mwenge wa Uhuru

mwaka 2012 JUMLA ya miradi 9 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 291.7 imezinduliwa na kuwekwa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru uliokimbizwa katika wilaya mpya ya Momba mkoani Mbeya.

wewe unasema millioni 2 millioni mbili si bei ya piki piki ya Tvs hlx au boxer

P5218342.jpg

kwani mkuu hiyo miradi lazima izunduliwe na mwenge?! hatuwezi kufanya na kuzindua miradi mpaka mwenge ufike?
 
Nikuulize wewe unayesema umeishi Namtumbo, Ruvuma.....hivi hapo Namtumbo ukiwa na milioni 2, wewe binafsi hakuna mradi unaweza ukafanya?! Milioni 2 mkoani, tena Namtumbo ambaye nimepata kukaa, ni pesa ndefu mno, mno😱
 
inaweza lakini Mwenge umekuwa uki boost umalizikaji wa miradi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Nikuulize wewe unayesema umeishi Namtumbo, Ruvuma.....hivi hapo Namtumbo ukiwa na milioni 2, wewe binafsi hakuna mradi unaweza ukafanya?! Milioni 2 mkoani, tena Namtumbo ambaye nimepata kukaa, ni pesa ndefu mno, mno😱

hivi kwanza unajua aina ya miradi ambayo Mwenge inaizindua kwanza?

tuanze hivi...
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Vijiji fulani kwa majina tu ya uchache ....sizaki....busegwe....butuguri....muriaza...butiama....kinyariri....matongo.....kizaru.....rwamkoma..nakadhalika.
Wakazi wa haya maeneo wengi wao wanasikilizana kilugha ambao ni wazanaki kwa wingi wao....wajaruo....wakurya kidogo nk.
*****Wazee waliposikia kuna ugonjwa kijiji cha jirani, usiku waliamka wakakaa kikao....kisha wanapitisha zindiko kuzunguka mipaka ya kijiji chao hilo zindiko likijulikana kama "RUKOBHA" AU kama kijiji cha jirani kina mapigano hayo mapigano yalizuiliwa na rhukobha na yasifike kijiji cha jirani...au kama vijana wanaonekana kuhamaki na kitu fulani pale kijijini rukobha ikipita kila mtu anarudi kuwa docile....
So hopefuly utapata uelewa mpana kidogo kuhusu mwenge kozi mwanzilishi ni toka rukobha ilipokuwa
 
Vijiji fulani kwa majina tu ya uchache ....sizaki....busegwe....butuguri....muriaza...butiama...bumangi...kinyariri....matongo.....kizaru.....rwamkoma..nakadhalika.
Wakazi wa haya maeneo wengi wao wanasikilizana kilugha ambao ni wazanaki kwa wingi wao....wajaruo....wakurya kidogo nk.
*****Wazee waliposikia kuna ugonjwa kijiji cha jirani, usiku waliamka wakakaa kikao....kisha wanapitisha zindiko kuzunguka mipaka ya kijiji chao hilo zindiko likijulikana kama "RUKOBHA" AU kama kijiji cha jirani kina mapigano hayo mapigano yalizuiliwa na rhukobha na yasifike kijiji cha jirani...au kama vijana wanaonekana kuhamaki na kitu fulani pale kijijini rukobha ikipita kila mtu anarudi kuwa docile....
So hopefuly utapata uelewa mpana kidogo kuhusu mwenge kozi mwanzilishi ni toka rukobha ilipokuwa......

So vitu vingine hata mkae mnauliza karne na karne utakufa bila majibu.
Utafiti kwanza
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Back
Top Bottom