Mwenge ulipofikia ni kama phrase ya 'Beauty is in the eyes of beholder' ni special kwa serikari tu hila unapoteza maana kadri siku zinavyoenda na support ya walipa kodi. Wakati as national symbolism za freedom na umuhimu wake kwa taifa it bears huge significance.

Tatizo la mwenge ni jinsi unavyouzwa kwa walipa kodi kwa wengi ni kuukimbiza tu na kufungua miradi mahala unaposimama bila ya kujua mantiki yake haswa. Lets face it kama ni kufungua miradi kila siku viongozi wanakata ribbon bila ya mwenge kukatiza so what special with mwenge; na hapa ndio tatizo lilipo.

Kwa wenzetu vitu kama hivi propaganda za utaifa zinafanywa kwa jicho la hoteliers na huduma zao, uwezi kutoza kulala sh 200,000 kwa siku na mwingine akatoza sh 30,000 kwa huduma ambayo ni perishable kama umeweka kitu tofauti ni lazima yule anaenunua hiyo huduma aielewe sio wewe uliobuni hiyo huduma. Na ndio sababu watu wanaenda to great length with SERVQUAL methods to show why they are different from 30,000 sh night sleep to justify their hidden special services which enhances your overnight stay.

Ndio tulipo umeweka budget ya sh 400b as yet hakuna promotion campaign zozote za umuhimu wake as a symbol ni mwenge tu unakimbia ovyo watu wanabadilishana, kulazimishana kuupokea kwa kusimama barabarani without awareness to the meaning. Wenzetu wanatumia hela nyingi sana kwenye media programs kuonyesha significance ya national ritual na umuhimu kwa nationalism, ni nini wanachokubushana na hiyo ritual kama taifa. Ndipo hela inapoenda huko kuliko kweye posho za viongozi kwa sababu walipa kodi lazima waelewe sababu za gharama zingine zinazotumika kwenye hizo ritual.

Sasa kumwita Dr Bana sijui Humphrey Polepole kwenda kutoa simulizi sio propaganda, you need clever programmes za wanachi unapopita na maelezo yake unaamasisha vipi maendeleo sehemu tofauti with moving images, you need historical anecdotes programs the sort of 'Mohammed Said' stories to invoke emotions za wazee na mambo mengi luluki propagandists wanayotakiwa kufanya kuweza ku justify matumizi na kuufanya mwenge uweze kuonekana muhimu na kupata support ya kujitakia sio kulazimishana.
 
ina maana hujui faida za mwenge? MWENGE unakuza sana uchumi kwa mfano kila sehemu unapokwenda wiki moja kabla haujafika wajasiriamali wanakusanyika sehemu utakapolala wanafanya biashara kuanzia mama ntilie,wauza vinywaji , nguo n.k unakuza sana uchumi wa nchi na miradi mingi ya maendeleo inazinduliwa
 
Ni upuuzi tuu hata wangekimbiza bure una maana gani huo baada ya kuwaacha watu wapige kazi wao wapo busy na vitu vya kijinga..
 
Mradi wa watu kupata hela bil 400 zingetumika kwenye maendeleo zingeleta tija
 
 

Faida yake ni kuwanyonya mazombi
 
Huwo ndio uchawi wa sisiem na serekali yake ndio maana jaama kashimdwa kuugusa wala kuuzungumzia
 
mwenge hauna maana ma watu walisha uchoka. na nasikia hadi kuna mzee mmoja amewahi kuuomba awashie sigara. lakini kipigo alicho kutana nacho sio cha nchi hii.
 
Una faida kubwa sana ndugu,Faida kubwa ni kukitangaza chama chetu kila mwaka na kupima uimara wa chama chetu tawala.Je,hii sio faida?
 
hauna cha maana zaidi ya kuwa "wakala wa maambukizi ya UKIMWI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…