Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
Zindiko la nchi lile...

Kwa hiyo kutumia gharama kwao sio ishu kubwa sana kwao.

Cha muhimu kwao ni kuendelea kuwalaza Watanzania kichawi na chama cha kijani kuendelea kushika hatamu.
Watz gani mkuu? Mbona mimi sijawahi kuvutiwa na mwenge wala ccm?
 
Halafu watawachangisha na kuwalazimisha watumishi hasa walimu kuchangia na kulala kwny mwenge!!!
Hahahaaaaaa vi-wonder
 
Hauna tija,
Unarumia mafuta yasiyo na tija na kuchafua mazingira.

Chanzo cha ngono zembe kwenye mikesha, kama kigodoro cha taifa.
Ufisadi kwani wakurugenzi, MArc, MAdc. Wabajinufaisha kwa kujipangia posho na kujiidhinishia bajetu ya mwenge bila kuwa na sheria.

Watumishi wanalazimishwa kuchangia pesa bila ridhaa yao kinyume na taratibu.
KUSHABIKIA AU KUUNGA MKONO MBIO ZA MWENGE NI UJINGA UNAOELEKEA KUWA UPUMBAVU
 
Jamani huo mwenge usipokimbizwa hii nchi haitaenda? mambo mengine yanatia hasira sana..
 
Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa

Waovu mnawakingia kifua.Pili hata nyie ni waovu maana huo mwenge umeshindwa kumulika Bilioni nane za Kivuko kibovu au vile vyeti fake pale Magomeni.
 
Habari wadau!

Leo Makamu wa rais Zanziber kazindua mbio za mwenge wa uhuru wakiwa na kauli mbiu ya maendeleo ya Viwanda.

Naomba anaye fahamu umuhimu wa kukimbiza mwenge na matumizi ya zaidi ya bilioni 400.

Nini faida yake?
Kwa sasa Mwenge hauna kazi, limebaki Zindiko la Kimapokeo, maana kama ni kuzindua miradi, mbona kila siku inazinduliwa bila Mwenge? Kama huleta maendeleo Mbona Nchi zinatudizi maendeleo na hazina Mwenge kama Rwanda tu hapo?
 
Waovu mnawakingia kifua.Pili hata nyie ni waovu maana huo mwenge umeshindwa kumulika Bilioni nane za Kivuko kibovu au vile vyeti fake pale Magomeni.
Hahahahahahaahahahahaah nimecheka mpaka roho imechomoka nipo kwenye ambulance nawahi kituo cha afya call me jei
 
Back
Top Bottom