mawelewele
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 277
- 135
Hauna faida yeyote,zat iz demonic power.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ya mwanaCCM hii....Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
anaeuchukia mwenge atakua mchawiAkili ya mwanaCCM hii....
Haya hongereni.
Watz gani mkuu? Mbona mimi sijawahi kuvutiwa na mwenge wala ccm?Zindiko la nchi lile...
Kwa hiyo kutumia gharama kwao sio ishu kubwa sana kwao.
Cha muhimu kwao ni kuendelea kuwalaza Watanzania kichawi na chama cha kijani kuendelea kushika hatamu.
Jaamaaa yang unajua me naitwa nanHata kama bajeti yake ni TSH 100/= tunaomba kujua unafaida gani huo mwenge binafsi
Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
Kwa sasa Mwenge hauna kazi, limebaki Zindiko la Kimapokeo, maana kama ni kuzindua miradi, mbona kila siku inazinduliwa bila Mwenge? Kama huleta maendeleo Mbona Nchi zinatudizi maendeleo na hazina Mwenge kama Rwanda tu hapo?Habari wadau!
Leo Makamu wa rais Zanziber kazindua mbio za mwenge wa uhuru wakiwa na kauli mbiu ya maendeleo ya Viwanda.
Naomba anaye fahamu umuhimu wa kukimbiza mwenge na matumizi ya zaidi ya bilioni 400.
Nini faida yake?
anaeuchukia mwenge atakua mchawi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji114]Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
Hahahahahahaahahahahaah nimecheka mpaka roho imechomoka nipo kwenye ambulance nawahi kituo cha afya call me jeiWaovu mnawakingia kifua.Pili hata nyie ni waovu maana huo mwenge umeshindwa kumulika Bilioni nane za Kivuko kibovu au vile vyeti fake pale Magomeni.