Kwa hio ni uchawi,ndo maana hatuna tofauti na maiti,
 
Umebugi sana kuunga mkono mbio za mwenge , ukiacha kuhamasisha ukimwi na madawa ya kulevya , Hakuna mradi wowote uliozinduliwa na mbio za mwenge uliowahi kudumu hata kwa miezi 6 .
 
Sio mkesha tu........mbio za mwenge au mwenge hauna faida zaidi ya kugharimu mapesa kuukimbiza nchi nzima.

Huwa najiuliza hivi miradi bila mwenge haiwezi kuzinduliwa??
 
Suala sio kulazimishwa,, unaweza usiende wewe akaenda ndugu yako wa karibu madhara yakakupata wewe indirect........mtoa mada nadhani ameliongelea kwa maslahi ya wengi.
Pia kuna kulazimishwa usikatae mkuu.
Mimi nimecomment hapo juu, ukiwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ama wilaya husika, siyo hiyari ni lazima ukeshe kwenye mkesha wa mwenge.
 
Ndo mana tupo ka tumerogwa


kale kazee bana
 
Umebugi sana kuunga mkono mbio za mwenge , ukiacha kuhamasisha ukimwi na madawa ya kulevya , Hakuna mradi wowote uliozinduliwa na mbio za mwenge uliowahi kudumu hata kwa miezi 6 .
Mkuu wewe ndiye umebugi kinyama.
Ninadhani hauelewi kinachofanyika katika uzinduzi wa miradi ya maendeleo inayofanywa na mbio za mwenge.

Ile miradi mikubwa unayoona baadhi ya mawaziri wakiifuatilia kwa karibu, ipo mingine mwenge huipitia.

Sema mafisadi na menyewe hukutwa yamejiandaa kumwaga ugali.
 
Yaani unaenda kukesha kulinda mwenge usiku kucha huku nyumbani mkeo anat.ombwa we unaona raha tu.!
 

Unamulika mipaka Sio kila alichokianzisha Mwalimu kilikua sahii labda kwa kipindi kile lakini ukisema mwenge unazindua miradi ya maendeleo karne 21 nitakucheka ndo maana mwalimu Nyerere aliandika kitabu tujisahihishe
 
Yaani unaenda kukesha kulinda mwenge usiku kucha huku nyumbani mkeo anat.ombwa we unaona raha tu.!
Watumishi wa halmashauri wa jinsia ya ke ndo wanaenda na wanashadidia sana mikesha ya mwenge kiujumla ndo micharuko na wahamasishaji wakuu!

Wanaume wanaendaga kufuata madem na ulevi wa kilevilevi! Siku hiyo yule alikuwa anaogopa kumtokea ndo siku yake!
 
HHahaaaa aise kweli bana
 
 
Kwanza huna ethics za kazi kama kweli ulikuwa miongoni mwa KUUW. PILI tambua kuwa Mwenge ni ALAMA ya Taifa kama ilivyo BENDERA YA TAIFA, FEDHA YETU nk. Si unajua Soudy Brown na Maua Sama kimewapata nini Mkuuu. Hebu tujadili hivi vitu kwa Busara na Weledi kuliko kuvidhalilisha ili kujiondolea fedheha inayoweza kutokea kwetu. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…