Tunawanga njoo na wewe tukuroge walahi!
 
Duuh! Ndio kusema misingi ya nchi imejengwa kutoka kuzimu?! 🤔
 
Duuh! Ndio kusema misingi ya nchi imejengwa kutoka kuzimu?! 🤔
Pia Kuna lile tambiko la Lindi liliua mamia ya watu, ardhi ilifunguka, ikameza watu, kisha ikajifunga.
Kaa na wazee wakupe historia ya nchi hii na uchawi
 
Watu wana'retreave mantiki ya kuujua undani wa hasara ama faida zake, wewe upo mkuabudu alama tu! What is the meaning of alama?
Kweli ndiyo maana watu hukosana hadi kuuana kwa ubishi wa kung'ang'ania misimamo ya kihafidhina!
 
Pia Kuna lile tambiko la Lindi liliua mamia ya watu, ardhi ilifunguka, ikameza watu, kisha ikajifunga.
Kaa na wazee wakupe historia ya nchi hii na uchawi
mrengo wa akina mshana jr kumbe una wataalam wengi. angalau akiadimika tutakuwa tunaku-tag.
 
Mwenge eeh mwenge....mbio mbio ...mwenge tunaukimbiza mbioooo mbioooo
 
..Sidhani kama ni busara kutumia fedha, mali, na muda wetu, kukimbiza mwenge.

..Shuhudieni ktk " clip " hapo chini mambo yasiyo na manufaa yoyote yanayofanyika wakati wa mbio za mwenge.

..hivi kweli watoto wetu wanastahili kukatishwa masomo kwenda kupokea mwenge?

kwa taarifa hicho ni kiwanda..tena kinazalisha ajira kila mwaka[emoji51]
 
Nakumbuka kipindi cha Kampeni jina Magufuli lilivyoandikwa katikati ya M kwenye jina kulikuwa na Huo mwenge. Kwahiyo hilo sahau kwa kweli.
 
..kwanini mlipa kodi wa Tanzania abebe gharama za mambo yasiyo na maana kama yanayoonekana kwenye clip hapo juu?
 
..kwanini mlipa kodi wa Tanzania abebe gharama za mambo yasiyo na maana kama yanayoonekana kwenye clip hapo juu?
Kwa sasa wapo watakaokupinga ila baadae rais akija kuzifuta hao hao waliokupinga watashangilia
 
Mgonjwa mtambuka@naona mtani wangu yupo hapo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…