Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanze na jipu la posho za wabunge. Hizi zinanikera yani mbunge kila siku laki tatu wakati hiyo ni posho ya mwezi ya polisi. Hapo bado mwalimu hana posho ya mwezi.
Mwenge hauewezi kufuitwa nduguzanguni bavicha,mnajichosha bure tu,
litakua ni tusi kwa nyerere,hakuna rais yuko tayari kubeba lawama hizo,
tusubiri 2050 mkikamata madaraka labda
Dhana ya mwenge na umuhimu wake iendelezwe. Ila haya mambio mbio yake yanayoambatana na gharama full stop
Mwenge hauewezi kufuitwa nduguzanguni bavicha,mnajichosha bure tu,
litakua ni tusi kwa nyerere,hakuna rais yuko tayari kubeba lawama hizo,
tusubiri 2050 mkikamata madaraka labda
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na Nyirenda, ulikuwa uwe ishara ya matumaini, upendo, na umoja wa Taifa letu.
Matukio ya hivi karibuni hasa baada ya muasisi wa mwenge huo kufa, kuna kila dalili kuwa tunachokimbiza sasa hivi ni kivuli tu cha mwenge ule kwani miale ile ya mwanzo ya mwenge wetu wa uhuru imeanza kuzimika na inaonekana ikififia kila mwaka mpya ujapo. Mwenge huu sasa umekuwa ni alama ya watu wachache kujiangazia wao na familia zao huku sisi wengine tukiendelea kubakia gizani. Hakuna kitu kinachoonesha kufifia kwa mwenge huo kama suala la mikataba ya nishati, madini, ununuzi wa rada, ndege ya rais, n.k Zaidi ya yote kwa wanafunzi waliokwama Ukraine, mwenge huu kwao tayari umezimika ( a little strech there, but why not try..??)
Je kuna matumaini ya kurejesha nuru yake tena? Je kuna haja ya kuuwasha tena ili uendelee "kuwamulika" wabadhirifu, wazembe maofisini, wala rushwa magendo n.k ? Au tuamue kuuzima tu, ili kila mtu ajiwashie mshumaa wake yeye mwenye na wale wenye uwezo wawashe vibatari, chemli, na taa za umeme! ?
huu mwenge kweli tunasababu ya kuendelea kuukimbiza?
Mwenge hauewezi kufuitwa nduguzanguni bavicha,mnajichosha bure tu,
litakua ni tusi kwa nyerere,hakuna rais yuko tayari kubeba lawama hizo,
tusubiri 2050 mkikamata madaraka labda