Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri,mengi ninayoyakosoa yanafanyiwa kazi. Nyinyi mnaounga mkono kila kitu hamkisaidii chama. Ukitaka kujua level yangu,muulize Mzee Sitta kwenye uspika.Mzee wa Ufipa katika ubora wake. Yeye kila kitu kinachofanywa na Serikali na chama tawala anakipinga. Huyu jamaa ataugua vidonda vya tumbo soon maana siku hizi anaandika kwa jazba na mihemko
Mzee Sitta alishachoka. Usijitafutie umaarufu. Niambie japo jambo moja tu umepigania ndani ya CCM na linafanya kazi.Uzuri,mengi ninayoyakosoa yanafanyiwa kazi. Nyinyi mnaounga mkono kila kitu hamkisaidii chama. Ukitaka kujua level yangu,muulize Mzee Sitta kwenye uspika.
Mzee Tupatupa
Hahahahahaaaaaa! Naona umekuja kivingine. Endeleama ccm yanasutana.
swissme
Sitaki. Nasema tena sitaki. Kama mmenichoka chamani mseme. Haiwezekani wakuu wangu wa kichama waniombe kuongeza nguvu kwenye mbio za ninachokipinga:Mwenge wa Uhuru.
Mwenge naupinga. Mwenge siupendi. Mwenge umenichemsha na kunichosha. Mwenye sitaki kuuona wala kuusikia. Mwenge umepitwa na wakati. Mwenge unatumalizia fedha kama taifa. Mwenge ni mzigo kwa taifa. Mwenge upumzishwe. Mwenge uwekwe makumbusho. Mwenge una hasara kuliko faida.
Nasema tena,sitakwenda wala kushiriki kwenye mbio za Mwenge. Sasa watanzania wamesusia mbio za Mwenge. Wanalazimishwa tu kuchangia,kusafisha na kushiriki. Si kama mwanzo. Mwenge huu si ule wakati tupo shule. Huu hauna kipaumbele kama ule. Tafadhali,nisihusishwe nao!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Leo niko hapa Uhuru Printers. Kuna kazi tunafanya. Uje nikuelimishe.Mzee Sitta alishachoka. Usijitafutie umaarufu. Niambie japo jambo moja tu umepigania ndani ya CCM na linafanya kazi.
Sina sababu ya kuelimishwa na Mtu ambaye anahitaji kuelimishwa. Subirini Magufułi achukue chama tuone kama hao mawakala wenu wataendelea kupumuaLeo niko hapa Uhuru Printers. Kuna kazi tunafanya. Uje nikuelimishe.
Mzee Tupatupa
Anza wewe mkuuWeka jina lako halisi hapa tukujue,,, vinginevyo na wewe walewale tu
Binti,acha woga. Uje basi hata LumumbaSina sababu ya kuelimishwa na Mtu ambaye anahitaji kuelimishwa. Subirini Magufułi achukue chama tuone kama hao mawakala wenu wataendelea kupumua
Sitaki. Nasema tena sitaki. Kama mmenichoka chamani mseme. Haiwezekani wakuu wangu wa kichama waniombe kuongeza nguvu kwenye mbio za ninachokipinga:Mwenge wa Uhuru.
Mwenge naupinga. Mwenge siupendi.
Hivi bado kuna watu wazima wanakimbiza mwenge?Mkuu wewe ndiyo unashituka leo, sisi wengine tuliachana na mwenge siku nyingi sana