Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Level za utapeli siyo zanguWewe endelea na vilinge vya majini huko..huku sio levo yako.
#MaendeleoHayanaChama
Vipawa gani babu,wajasiriamali wale,ununue chupi laki SITA unusu ili upone shida ya uzazi!!Hivi kwa nini mapadre wanawaonea wivu wenye vipawa wakati wao hawaamini uwepo wa mungu kabisa
Acha wivu wa kike..acha injili ihubiriwe kwa namna yoyote.Wivu wa nini!!..mi si tabibu Wala si nabii feki nayesingizia nna upako kumbe tapeli
Mbona yesu alitumia tope la mate kuponya?Kipawa gani? Angekuwa na kipawa asingetumia keki, mafuta, maji au udongo.
Hao wanao nunua na kupata uponyaji..walikuja kwako kuomba hata unga..acha wivu wa kike..get a job.Vipawa gani babu,wajasiriamali wale,ununue chupi laki SITA unusu ili upone shida ya uzazi!!
Hawata kuelewa.
Wote wanaojiita mitume na manabii most of them ni fake
Wewe inaonekana una mihemko,. Na hujui maandiko....bwana Yesu wanasema alitumia hata tope kumuondolea mtu upofu..hata mafuta eti..sijui unaelewaKipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Na ni mwamba kweli ni nabii kutoka mbeya. Alianza huduma yake mjini moshiMwamba Yupo Arusha leo
Mahubiri yake ni fake.Unajuaje kama ni fake jomba..tupe proof na maandiko
Hapana siokweli wajameni tuwe wakweli..nakumbuka anasemaga nani mtenda miujiza, wanajibu Yesu..na haachi kumtaja Yesu wakati wote....maji ni Alana ya kutengeza Imani tu na ndio maana wakati wa kuyaombea wanataja Yesu ayape maji nguvu kama ambavyo yeye alivyokuwa akitumiaMahubiri yake ni fake.
Anahubiri na kuaminisha vitu kuliko Mungu na Yesu..
Kila imani ina misingi yake.
Kuhubiei maji kuliko Mungu au Yesu ni imani batili
Tupege Basi hata evidence sio kusema kutoka hewaniWivu wa nini!!..mi si tabibu Wala si nabii feki nayesingizia nna upako kumbe tapeli
Sio most...ni wote fake!Hawata kuelewa.
Wote wanaojiita mitume na manabii most of them ni fake
📌📌Mahubiri yake ni fake.
Anahubiri na kuaminisha vitu kuliko Mungu na Yesu..
Kila imani ina misingi yake.
Kuhubiei maji kuliko Mungu au Yesu ni imani batili
Ni kweli jomba utafiti wako uko sahihi..watu wengi wanaamini katika uganga kuliko uwepo wa Mungu..Hadi tunakwenda mitamboni bado lengo la uzi halijatimia maana kinachotolewa ni kuhusu huduma yake na wengi wameonyesha anatumia nguvu za giza. Nilichojifunza wengi wanaamini kwenye nguvu za uganga kwenye kufanya miujiza kuliko nguvu za Mungu kwenye miujiza.
Hapana siokweli wajameni tuwe wakweli..nakumbuka anasemaga nani mtenda miujiza, wanajibu Yesu..na haachi kumtaja Yesu wakati wote....maji ni Alana ya kutengeza Imani tu na ndio maana wakati wa kuyaombea wanataja Yesu ayape maji nguvu kama ambavyo yeye alivyokuwa akitumia
Wewe sio mkristo nadhan unaongelea na umejikita kwenye udini tuSio most...ni wote fake!
Tupo sana tu tupo tuimejaa teleNgoja misukule yake ije