Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Technology imewaondoa ukifanya trick zako watu wanaingia YouTube wanaona Ile trick ilivyokuwa.
Ingia YouTube andika mask magician uone anavyo expose magician trick mbalimbali.
Kingine source za burudani zimekuwa nyingi alafu very cheap.
Huku kwetu ndio hakuna hiyo sanaa. Kwa wenzetu bado ina mashabiki. Magicians kama Criss Angel, David Blaine na wengineo ni maarufu sana huko Ulaya na US.
 
Kumbe hilo tu ndio linakufanya useme sio nabii wa kweli..kumbuka sio kila swali lazima lijibiwe..na pia acheni wafu wazike wafu wao..kwamba angebaki huko moshi ndio walikoufa wangefufuka??

#MaendeleoHayanaChama
Attitude ya mtumishi wa Mungu inatakiwa iwe taa kwa wapagani. Sasa kweli unamwaga mafuta eti watu wakanyage ndio wapone huku akijua kabisa Kuna msongamano mwishowe watu wakafa. Then haonyeshi hata compassion Wala sympathy ndio kwanza akarudi Dar kuendeleza mafuta!!!

Hiyo sio attitude ya mtu aliyeokoka..... Kwanza Kuna uponyaji Gani wa kulishana cake sijui mafuta. Sijawahi ona akihubiri kuhusu watu kumtafuta Mungu waende mbinguni? Sijawahi sikia akiomba watu wajazwe Roho Mtakatifu.... Yeye ni mafanikio tu, pesa,.na mafuta!!

Yule ni mjasiriamali anayejificha kwenye kanisa ila uzuri with time mtakuja kuelewa hope it won't be too late.
 
Ila ingekuwa katoliki wangetangazwa kuwa watakatifu ili mradi wamefia kanisani. Hakuna kanisa lenye usanii Kama katoliki na mapadre wao walawiti
 
Huyo laghai namba moja siku yake ya mwisho atahukumiwa na mungu kwenda motoni siku hiyohiyo. Hatasubiri eti kiama ifike.
 
Hahaha..
Catholics hawasomagi Bible mkuu..
Ungempa briefing
 
Nilichogundua kinachokusumbua ni wivu..pia unasikiliza sana story za vijiweni..mimi pia nilikua na mentality kama yako..ila niliamua kufuatiria mahubiri yake..kiukweli jamaa anahubiri watu waache dhambi.

#MaendeleoHayanaChama
 
ni nabii wa uongo
 
Mkuu huwa kila Mwaka ukianza naweka nadhiri ya Kusoma Biblia kuanzia Kitabu cha Mwanzo hadi Kitabu cha Mwisho cha Agano Jipya tena sisomi Hizi Biblia ambazo zimetoholewa ambapo vitabu kama Ezra, Esta,Yobu,Yoeli,Amosi, Obadia, Nahumu,Zephania,Haggai na Malachi havina....

Kwa hiyo usiseme tupo shallow.....
 
Mpaka hapa hitaji la mleta mada alijatimizwa hakuna aliyeleta Historia ya Mtume Mwamposa zaidi ya mapovu.Wabongo wajuaji Sana.Bongo bahati mbaya.Ukisoma comment utaona chuki na ujuaji uliojaa mihemko isiyo na maana.
nimesema kile ninachokijua lakini wapuuzi fulani wamekuja kudivert mada soma thread za mwanzo kabisa
 
Yesu asilimia kubwa ya huduma yake aliponya na kufanya miujiza hakuhubiri tu neno na kuendesha tu Bible studies kama watumishi wengine wa leo kutwa kuhubiri neno tuuu.Watiu wamechoka ndio maana wanaamua kwenda kwa Mwamposya

Kushinfia kutwa juhubiri neno tu nao sio ukiristo.Kunatakiwa combination ya vyote viwili sio kila siku kelele tu xa tufungue Biblia tusome mstari huu na huu

Yesu na Mitume hawakuwa hivyo
 
Namaanisha huyo sio mtumishi wa Mungu maana Mungu hawezi ruhusu watu wauane kisa kupata "muujiza" wake..
Nimetafakari kwa kina juu ya jibu lako, ila ni kipimo hicho tu pekee ndiyo kumpima na kuja na hoja ya kuwa si mtumishi wa Mungu?
 
Kabla hajafika sinza alikuwa anafanya ibada zake kwenye hema chafuchafu pale moshi, ndani ya soko la maimoria. Akawa anapaka watu mafuta, na kuwaombea kwa mafungu, mwenye milioni, mwenye laki 5 mwisho elfu 50 chini ya hapo hakuna maombi. Alipozichanga ndio akahamia huko sinza vatcan. Baadae akarudi kuchukua u phd kwa kukanyagisha watu mafuta ambapo kulipelekea watu 20 kuaga dunia.
 
Wee mtu gani kila unaemuombea anapona hakuna mtu mwenye uwezo kama huo katika dunia tokea ilivyoumbwa mpaka leo juzi nilienda kwa mwamposa nikaenda kwa wale watumishi wanaomsaidia mwamposa nikawaambia kuwa nina ndugu yako alizaliwa kilema namtaka nimelete kwa nabii mwamposa ili apone apate kutembea wakasema sawa mlete acha na simu tutakupigia wee mavi ya pimbi kila nikiwatafuta kesho kesho mara sijui huku mara sijui vile mpaka leo kimya kiwapigia wananiznungusha nikaamini hapa kuna magumashi sana ni kiini macho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…