Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Ulitaka kuwajaribu..ndio mana umefeli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna mafuta wananunua misri,na uchawi sehemu mbalimbali...tumewaona tangu 90' akina kakobe nk,wanakula,wanachuma Mali,muda ukifika wanakaa pembeni,wanakuja wengine
Wewe endelea na vilinge vya majini huko..huku sio levo yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwamposa ni wale Walokole waliokua wanahubiri Barabarani enzi hizo, tukiwaona tunawaona kama waliochanganyikiwa, hana shughuri yoyote ya kumwingizia kipato yeye akiamka ni kwenda kuhubiri mtaani!

Ikapelekea mpaka Mke wake akamwacha, baadaye akawa anaenda Morogoro huko Milimani akifunga na kuomba, kufunga na kuomba......!
 
Yesu alihubiri na kuponya pia..so mwamposa anahubiri na kuponya pia.

#MaendeleoHayanaChama
 

Kipawa gani? Angekuwa na kipawa asingetumia keki, mafuta, maji au udongo.
 

Nguvu za Mungu?. Nguvu za Mungu hazihitaji msaada wa maji na mafuta. Zinajisimamia zenyewe.
 
Umeshindwaje kuwatokelezea na mgonjwa wako pasipo kuwataarifu?

Bila shaka shetwain kakufunga sheikh
 

Mbona Kuna watumishi wakubwa tu na hawasemwi Kama ni wachawi?. Mbona yeye?.
 
Ila ingekuwa katoliki wangetangazwa kuwa watakatifu ili mradi wamefia kanisani. Hakuna kanisa lenye usanii Kama katoliki na mapadre wao walawiti

Usibadilishe mada. Ukatoliki umeingiaje hapa.
 
Hivi
Nilichogundua kinachokusumbua ni wivu..pia unasikiliza sana story za vijiweni..mimi pia nilikua na mentality kama yako..ila niliamua kufuatiria mahubiri yake..kiukweli jamaa anahubiri watu waache dhambi.

#MaendeleoHayanaChama

Katafute sifa za nabii wa uongo. Biblia inasema injili itahubiriwa hata kwa hila. Ina maana Kuna watu wanahubiri injili ila kwa hila sio kwamba kuwapeleka watu mbinguni Bali mambo yao.
 
Mpaka hapa hitaji la mleta mada alijatimizwa hakuna aliyeleta Historia ya Mtume Mwamposa zaidi ya mapovu.Wabongo wajuaji Sana.Bongo bahati mbaya.Ukisoma comment utaona chuki na ujuaji uliojaa mihemko isiyo na maana.

Manabii wengi wa uongo historia zao zimejificha maana waliibuka ghafla.
 
Hivi

Katafute sifa za nabii wa uongo. Biblia inasema injili itahubiriwa hata kwa hila. Ina maana Kuna watu wanahubiri injili ila kwa hila sio kwamba kuwapeleka watu mbinguni Bali mambo yao.
Wacha injili ihubiriwe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…