Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wako wanakula Bata na vision vyake juu,tena kwa mrijaHivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wanakula Bata na vision vyake juu,tena kwa mrijaHivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Mwakasege mbona wapo wengi wanompinga ikiwepo na walokole.Umewahi ona mtu anamkosoa Mwakasege, Kimaro, au Kulola kwa level za huyo Mwamposa?
Ukiona tofauti ya mafundisho Yao ndio utaelewa shida inaanzia wapi
Walipigwa marufukuHivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Mzee joseph alifariki, mtaji wa kijiwe cha selemala ukafa,, akawa anamsaidia mama kuuza mvinyo kwenye masherehe,, akaona hailipi, akaondoka kwao nazareth kwani wanakijiji walimfukuza,, akawa mtu wa kutanga na njia kabla hajakutana na wale wavuvi kina petro,, wavuvi na yeye wakaunga mkono harakati zake za kuleta ukombozi wa watu dhidi ya ukoloni wa Roma empire,Unauhakika hakuwa na kazi hujuia alikua mwana wa selemara aliyefanya kazi ya uselemara..hujui wanafunzi wake walikua wavuvi wa samaki.?
#MaendeleoHayanaChama
Wale wa mazigaumbwe ndio hawa akina mwamposa hila wamebadilisha tu jina wanjiita manabiiHivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Petro mvuvi aliamriwa na Yesu kutupa nyavu kilindini palepale ambapo usiku kucha hawakupata samaki. Kwa fundisho lake Yesu Petro alitii na walipata samaki tele wakajaa boti yao na waita na za majirani.Tupe andiko japo moja tu ambapo Yesu Kristo ama mitume wake waliombea watu wapate utajiri wa dunia. Tuanzie hapo
AmenSio tu utajiri na aonyeshe andiko linaonyesha mitume waliwauzia watu mafuta ya upako, maji ya upako, chumvi ya upako, asali ya upako n.k yaani wapi waliwauzia watu Neema ya Mungu
Ungemalizia kabisa, alipouza samaki hao alipata milioni ngapi na aliwekeza wapi. Acha kupiga bla bla, toa kitu kamiliPetro mvuvi aliamriwa na Yesu kutupa nyavu kilindini palepale ambapo usiku kucha hawakupata samaki. Kwa fundisho lake Yesu Petro alitii na walipata samaki tele wakajaa boti yao na waita na za majirani.
Kuvua samaki ilikua kazi ya Petro kabla hata hajamjua YESU, baada ya kumjua YESU kuvua samaki ikawa ni kama side hustleUngemalizia kabisa, walupiwauza samaki hao walipata milioni ngapi na waliweza wapi. Acha kupiga bla bla, toa kitu kamili
Wabongo wanaamini sana uchawi na uganga, kila kitu kwao n uchawi usisumbuke mkuumwamposa amejikita sana kufundisha imani na jinsi ya kuipractice. ukisikiliza mafundisho yake kwa lengo la kujifunza na kutaka kuelewa, utatoka na jambo jema. Wengi wanamsikiliza kwa sikio la kukosoa, kukebehi, kudharau, hata akifundisha kitu kizuri hutaelewa kwa sababu ushajiandaa kutokuelewa. Tafuta kitabu chake "nguvu ya kushinda kabla ya kushinda"
Watu ni wapumbavu sana kuhusu uwezo Wa Mungu.Uenda uko sahihi,lakini huwezi kufafanua vizuri,hebu jipange alafu tufafanulie vizuri,kidogo nijuavyo ni kuwa miujiza ya Mungu siyo ya kujirudia kwa njia moja kila siku(siyo ya kukariri),kwa hiyo hujui Mungu atatumia njia gani kumfungua mtu,siyo kila siku maji na mafuta no.
YAANI roho Mtakatifu amuingie MTU halafu huyo MTU awe na magonjwa. ?Acha kudanganywa watu..roho anakusaidia kushinda dhambi ili kuokoa roho dhidi ya umauti wa milele wala sio njaa na magonjwa ya duniani.
#MaendeleoHayanaChama
Aisee kuna vitu na mambo mengi ya kutenga muda kuyafuatilia. Muda ni wa thamani sanaMimi nilikua simkumbali lkn baada ya kumfuatilia nilimuelewa. Mungu amjalie mtumishi wake maisha marefu. Watu wengi wanataabika na giza lakini kwa kipawa alichopewa.
Kama unasikia kwa watu na maneno maneno jaribu mfatilie utamuelewa kuliko kusema sema ndo wale.
Someni Biblia Kila kitu akifanyacho ni nguvu za Mungu.
Hoja imefungwa rasmi. Sipo hapa kupiga bla bla za ubishani usio mantiki. Mimi napenda tuseme iliyo kweli ya maandiko, usiniketishe barazani pa wenye mizahaKuvua samaki ilikua kazi ya Petro kabla hata hajamjua YESU, baada ya kumjua YESU kuvua samaki ikawa ni kama side hustle
Utapeli wake uko wapi??sijaona utapeli as long as anayemhubiri ni kristo.Mwamposa Ni tapeli ,Haendani kabisa na manabii wa kwenye BIBLIA ,
Well said ..watu watapinga tu siku zote..kama kristo alikataliwa iweje mwamposa.Mwakasege mbona wapo wengi wanompinga ikiwepo na walokole.
Kulola mwywe alikua anapigwa vita na waTAG wenzie, had akakimbia kuanzisha EAGT.
Point yangu n kuwa huwezi mpinga mtu kwa emotions zako, au based na dini yako,
Hata Yesu, mafarisayo walimuita muongo, mwenye pepo na mpotoshaji,
Sa we kumpinga Mwamposa kwa emotions sidhani kama ina matter.
Then bila shaka utakua na chuki binafsi na Mwamposa,
Ninamfatilia na huwa na msikiliza mwamposa sijanona utofauti wowote wa kimaandiko kwa Mwamposa.
Nasali EAGT na oftentimes huwa pastor anamuhubiri Mwamposa, Ila nilichogundua na kinachomsumbua n hofu ya kukosa majibu kwa changamoto za waumini, ili kuzuia kupoteza waumini huwa anashia kumpaka tope.
Hayo mengine umebumba wewe..kuhusu ukombozi dhidi ya serikali ya roma mwanzo wengi walidhani vile..ila yeye mwenyewe alisema wazi amekuja kukomboa kondoo waliopotea wa nyumba ya Yuda..hakuja kupambana na serikali ya roma.Mzee joseph alifariki, mtaji wa kijiwe cha selemala ukafa,, akawa anamsaidia mama kuuza mvinyo kwenye masherehe,, akaona hailipi, akaondoka kwao nazareth kwani wanakijiji walimfukuza,, akawa mtu wa kutanga na njia kabla hajakutana na wale wavuvi kina petro,, wavuvi na yeye wakaunga mkono harakati zake za kuleta ukombozi wa watu dhidi ya ukoloni wa Roma empire,
Hawa wanaharakati walisaidiwa makazi na chakula, na madada wawili yatima wa bethania, akina martha na mary na kaka yao Lazaro[emoji2375]