MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #101
Dah, nakomaa na azuma.Si ulipenda avatar haya meza azuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, nakomaa na azuma.Si ulipenda avatar haya meza azuma
Ahsante NitapimaUkitoka hapo kapime HIV
AhsanteUkitoka hapo kapime HIV
Genyeee ni mbaya sanaGenyeeeeeeeeeeeee
Story ndefu.. 😂😂Dah 😂
SawaGenyeeeeeeeeeeeee
Acha tu wanawake waendelee kutudharauTusipime watu kwa macho wakuu, maradhi yapo tena ya kutosha.
Achana na smirnoff broStory ndefu.. 😂😂
Nina siku ya nne tu Jana ndo nikaona kitu kinanatia kwenye boksa kucheki ni kama usaha ndo maumivu ya kukojoa yakaanza.Hilo ni gono mzee linatesa upumbavu wote pembeni 😁😁 inaonekana ulizembea Sana dalili hadi imeanza kutoa usaha
Yaani kichwa cha chini kikishabeba damu yote na kwenda kuitumia kuusimamisha mtinyama, kichwa cha juu kinakosa oksijeni ya kutosha and hence uwezo wa kufikiri unarudi utotoni na unayatimba mchana kweupeee..!!!Ahsante
Genyeee ni mbaya sana
Sawa mtakatifu Senior security, wasalimie mbinguni..!!Wazinzi wakufe.
Kila siku tunawaonya
Vijana acheni uzinzi
😂😂😂Sawa mtakatifu Senior security, wasalimie mbinguni..!!
Kuna watu wanajifanyaga watakatifu sana, kumbe waliyonayo au wayafanyayo sirini ni heri ya GONO..!!! Ukitaka kuamini hili, sikiliza simu za walokole ambao hawajui kama wanasikika na wengine..!! Utachoka..!! Ndo hawa akina Senior security, utakuta yeyey wala siyo mzinzi, ila WIZI sasa huko anakofanya kazi, hatari..!!
Kwa hiyo hilo gono umelipata kwa romance?Ngoma si Hadi mchubuane damu? Au hata kwa romance unaipata?
Unafikiri huyo binti kapata hilo gono kwenye ugali? Kaambukizwa na mjinga mmoja kama wewe. Mkiambiwa uzinzi dhambi hamsikii. Sasa ukimaliza azuma uanze ARV za milele. Hongera kwa kupeleka motoNyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.
Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.
View attachment 2897819
Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Ulitakiwa kuwa jela hivi sasa🤭Niliyatimba mwaka juzi kwa kabinti under 18!