Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Anamiliki mabasi na timu ya bigstars huo uwongooooo unamwambia nani
Kipindi alipotumbuliwa Uwaziri na Mwendazake, Singida United ilipotea ikashuka daraja. Ghafla akarudi kwenye Uwaziri DTB ikaibuka ikapanda hadi daraja, ghafla ikabadilishwa jina.

Mwigulu Nchemba usitufanye wajinga, eti huna biashara hata ya bajaj, kawadanganye watoto ila sio watu wazima
 
Mtumishi wa umma yeyote haruhusiwi kufanya biashara hiyo ndio kanuni yao utumishi,

Lakini kwa mlango wa uani ni Mabilionea! Wa kutupwa! wanamiliki makampuni katika mifumo complex sana! kwa mtu wa kawaida kugundua.

Huyo ni nchumi kama ZZK. wanajua namna ya kuficha pesa in a way no one will ever doubt! Hata ukiwatafuta kwenye makablasha ya blera utaambulia patupu! They know what they're doing and they're doing it right! & Smoothly!
 
@Mwigulu Nchemba usitufanye wajinga, eti huna biashara hata ya bajaj, kawadanganye watoto ila sio watu wazima
Leta ushahidi wa Biashara anazomiliki. Kwani Ile fomu yake ya maadili kwa watumishi wa Umma imejazwa nini?
 
Duuu huyu (tozo) mdudu bacteria anawakata matumbo baadhi ya watu huko mtaani.

Achaneni na huyo mdudu tozo. Zungu kawaachia msala yuko zake kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…