Duh umenitisha..manake nakumbuka wakati Hayati kaenda Chato watu walisema kakimbia Corona..yeye alimfata hukohuko ili amuapishe.Seems alipita kwa Dr Mwandulami au alipokuwa Lumumba alikuwa ana ratibu zile shughuli za maji kwa akina Mangula.Akiwa pembeni ya mfumo atasema niguse ninuke haaaaaaa.Eee Mungu tusaidie
Eeh nendeni maana mnachelewesha maendeleo kila kukichaNyie si mko wengi? Mkilipa wote itatosha kabisa kugharamia miradi yenu ya kimkakati.
Chadema watahamia Burundi ili mkae kwa amani.
He is too stupid to be a minister, let alone to be an MP.Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Tena ile lugha aliyotumia na kudai ile ni sheria hawezi kufanya chohote, sasa hizi nguvu za kusema wamesikia kazitoa wapi, na wakati anajua rate au kanuni za uendeshaji ni za waziri na sio Bunge.Mpumbavu hana adabu.
Moja ya makosa makubwa sana ya mama SSH kufanya ktk baraza la mawaziri ni kumpa huyu mtu uwaziri. Lazima atamuangusha tu mama SSH, amejaa kiburi, dharau na kujisikia kupindukia na watu wa namna hii ni wanafiki mno.
ACHA UMBEYA- WEKA LINK NZIMAJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za magufuly
Hivi mkuu ebu niambie double taxation inakuja vipi hapaKama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
Viongozi msipende kutumia lugha za kijeuri jeuri pale wananchi wenu tunaposhindwa kuwaelewa na kuwahoji,njooni na majibu sahihi kwa wananchi pindi muulizwapo jambo!,uzuri tunaye mama.Hivi mkuu ebu niambie double taxation inakuja vipi hapa
Fikra pana hii,Mama Samiah ametulia,halioni hili na litacost utawala wake.Anataka chuki ijae ndani mwetu kwa awamu hii, ili SSH aone kuwa awamu ijayo imemkalia vibaya na asichukue fomu ili yeye na timu yake wapata nafasi!! yupo kimkakati zaidi.
Ni kwa sababu hatunaga uchaguzi, Hawana cha kuhofiaJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Na ukichaa anao piaNi vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli