Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Weka hela kwenye simu yako halafu Mtumie bibi kule bush, wewe utakatwa kodi na bibi akienda kutoa hiyo hela kwa wakala kodi itamhusu pia Sawa
Hicho ndicho unachomaanisha- HAUKO SAHIHI- FIKIRIA ZAIDI
 
MaCCM wote wamelewa ulevi wa madaraka.
 
Ahame yeye sisi tupo tu! Ila miamala hatufanyi!!!!
 
"HAFAI! BURE GHALI!"
 
Nchi imejamba hii.. katiba mpya ni lazima na sasa.
Hatuwezi kuendelea kutukanwa na watawala wanaovimbiwa na kujambiana usiku kwa kodi zetu.
 
Huyu jamaa ni mpuuzi sana,udakitari wa falsafa sio kujitapa,ni matendo,yeye kuwa na ka PHD ka uchumi,anajiona mwamba,amefanya tafiti ngapi na wapi zilizoleta tija?watu waliokuwa wamebobea kwenye uchumi kama Prof Ndulu,walikuwa na CV nzito kuanzia UN,sasa huyu kasoma hajawahi hata kufundisha,au kufanyia kazi hako ka PHD lake,anatutambia hv
 
Wabongo hata Wakiamvia Piganeni Miti, hawana cha kufanya, haya Maneno ya Mwiguru ingekuwa ni nchi raia wake wanajielewa kingeisha nuka mda mrefu sana
 
Ni mwendazake anayejua kupangilia maneno yake vizuri.Na anataka kukalia kiti namba moja siku za usoni.Ole ole ole kwa taifa hili.
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…