johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa fedha alikuwa Stephen Kibona na Dr Mgimwa tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kipindi hicho,nani alikua Waziri wa fedha!? Maana alikua na huruma sana, Mtu Kama huyo umtoze Kodi kweli!?Hivi na yeye kipindi hiki angeambiwa akatwe tozo kama hizi za sasa hivi, angekubali kweli?
View attachment 1899463
MAONI YANGU:
Andika barua ya kujiuzulu, hufai kuwa Waziri Wa Fedha kwasababu ni muongo kweli kweli.
Mwigulu ni Zero.Mwigulu nchemba waziri wa Fedha na uchumi! Ukifikiria vizuri unagundua kuna shida sehemu! He does not deserve the post at all!
Mimi sina tatizo na Ummy, ila huyu Kibwengo na yule Msanii wa Afya.Kuna mawaziri wawili ambazo kwa kweli wananitia hasira sana huyu na Ummy
Zikitumika vzr,zinaweza kuleta matokeo mazuri,ufanyike utaratibu hata mikopo ya Elimu ya juu ikusanywe namna hii,Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri
Umenikaba koo nilipe na umezikomba kwa lazima toka mifukoni kwangu sasa unajitapa! Mungu anakuona.Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri
==========
Kupatwa kwa Tanzania😱Da Kazi kweli kweli
Unazungumzia Makato ya Tsh 10
Tanzania imepatikana