Waziri kujibizana twittani na kutoa vitisho vya kuchukua hatua za kisheria ambazo hazijawahi kutungwa π πMajukimu ya Wizara ya Katiba na Sheria ni yapi?
Sawa Mheshimiwa. Ila tamko hili lilipaswa kutolewa na Igp, TCRA, Mambo ya ndani na Msemaji Mkuu wa Serikali. Wewe upo katiba na Sheria wajibu wako ni Kusimama Sheria za Nchi na Katiba Mapendekezo na Utekelezaji. Hata hivyo hawa Wazushi wanakera.Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
Alikiri mwenyewe kupewa 900M ili aache kumuongelea mzee baba. Baadae akaja akaifuta hiyo post. Na kweli aliacha, sometimes akawa anadonoa donoa but in a positive wayMange alipewa hela?
Washughulikiwe tu..Wengine hao hapo.View attachment 1723336
Mkuu ndiyo tuna tatizo kubwaNilidhani jambo hili linamuhusu Dr Ndugulile na IGP!
Hiyo ni juu yangu whether kuamini au kutoamini, mimi nimekwambia kilichoripotiwa na yeye mwenyewe kukiri.Na wewe ukaamini kapewa milioni 900 ili aache kuposti mitandaoni?
This is what I thought at first place. Naona kuvuka mipaka kwingi, kujipendekeza kwingi, na kutaka kudraw people's attention kwake kwiiing kwa jamaa yetu huyuπππNilidhani jambo hili linamuhusu Dr Ndugulile na IGP!
Yaani mkuu vitu unavyotetea na profile picha uliyoiweka, haviendani kabisa.Selikali haina shida na yule chizi akiejicbokea ana lelewa na wanaume wenzie
Na ndo huyo huyo kipenzi cha watu wa sera za upinzaniTundu muondoe kwenye orodha, dish limeyumba yupo kwa dokta tayari kwa maelezo ya mwanafamilia
Freeman Mbowe na John MremaKiongozi gani amezushiwa kifo?
There you're mkuuππ€Duh...
Hapana, hakuwahi kukiri!Alikiri mwenyewe kupewa 900M ili aache kumuongelea mzee baba. Baadae akaja akaifuta hiyo post. Na kweli aliacha, sometimes akawa anadonoa donia but in a positive way
Sijategemea kama ningeona watu kama nyie mnatetea mfumo mbovu. We ndo wa kwanza nakuona.Unataka niwe nakubaliana na uhuni wa kina Lissu ndio niwe naendana na profile picture
Angefanya vizuri kama angeanza na yale magazeti yao ya propaganda. Ya kila siku.. Yaliyozushia watu vifo janaWaziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
Wapinzani wapi waliuwawa? Unazungumzia wale waliotolewa kafara kule Pemba na kuacha wanasiasa wachache wakinufaika na SuK?
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Utamwelewa kama wataka. Anapeleleza yeye. Anakamata yeye. Anahoji yeye. Anasililiza yeye. Anahukumu yeye. Anafunga yeye. Na anatangaza hayo yote mwenyewe Twitter!