Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
Huyu Mwigulu ni waziri wa nn tena mpaka anaanza kufuatilia waharifu?Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
Tanzania ya leo inapata habari hata kama Magazeti hayaripoti.
Sasa mbona walimpiga risasi?Serikali haina shida na yule chizi akiejicbokea ana lelewa na wanaume wenzie
Wahenga walisema: Kila kabila lina mwerevu wake na mpumbavu wake. Leo tunayaona mubashara. Singida ina Tundu wake na Madilu wake.Huyu Mwigulu ni waziri wa nn tena mpaka anaanza kufuatilia waharifu?
SawaHapa unatetewa mfumo au unakemewa uhuni na uzushi wa kina Lisu?
Magufuli akifa huo mfumo unaondoka?
Serikali haina shida na yule chizi akiejicbokea ana lelewa na wanaume wenzie
Na serikali ya ccmAlipigwa risasi na nani
kamuulize Jiwe, ndo anajua alituma genge gani kwenda kufanya huo ushetani!.Alipigwa risasi na nani
Anadhani bado yuko Mambo ya ndani?.Kazi hiyo ni ya Waziri Wa Mambo Ya Ndani na TCRA, Jeshi la Polisi wala TCRA hazipo chini ya Wizara yake mpaka atoe amri za kamata kamata na kufanya uchunguzi wa Cyber Crime, yeye kazi ya Wizara yake ni kuandaa proporsal za marekebisho ya sheria na katiba.
Apunguze speed ya kuusaka Urais 2025, kujua kwingi mwisho ataharibu.
Wanafanya kazi, siyo kama yeye kwenda kujikalisha kwa wanaume wenzie
Angeanza na gazeti la TANZANITE, limeripoti kuhusu vifo vya John Mrema na Freeman Aikale Mbowe, tena limetaja hadi sehemu walizo fia, Mbowe kafia Dubai na Mrema kafia S.A. Tusianze kuandikia mate wakati wino upo.Viongozi anamaanisha nini? Amaanisha Mbowe? Anamaanisha John mrema pia? Anamaanisha mbeba maono Tundu Lissu pia? Au anamaanisha wahuni ambao hata wakihojiwa zilipo trillioni 1.7 wanataka kuua watu?
Mwigulu anza na wale waliomzushia Mrema (Katibu Mwenezi wa CHADEMA) kifo huko South Africa. Viongozi wetu wakizushiwa vifo mnacheka. Wa kwenu akizushiwa mnakuwa mbogo. Watu wa ajabu sana nyie!Duh,mi imegoma kabisaaaa
Mpk VPN,hata VPN wakati mwingine inagoma!
Km hizi siku 3 imegoma sijui nifanyeje jmn