Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Mbona Mungu hausiki hapo? Mambo mengine kama wa kushukuriwa basi amshukuru shetani, Mungu hapendezwi na ujinga ujinga kama huu.
Wakushukuriwa ni mmoja tu. Kama anauelewa huo.
 
Ile ni kutokwenda ni nafsi inamsuta "guilty conscious", anajijuwa kuwa sakata la ksriakoo yeye ndiyo tatizo.
 
Kwa mara ya kwanza kabisa nakuunga mkono. Umesema ukweli mtupu ambao kila mtu anauona isipokuwa rais Samia. Ila mimi nadhani huyu jamaa ni mjinga kiasi kwamba mama Samia and co anamtumia jinsi anavyopenda kwa maslahi yake. Na mwingine ni January Makamba!
 
Wewe unamuona bogus wakati mama anaona ameokota dodo chini ya mwarobaini? Mama anaona hakuna kichwa kama kile nchini na Africa nzima na haoni kama kitakuja kitokee.
 
Nasikia ni mnoko sana kwa wizara nyingine,kwa position yake yeye anaonana na mama mara kwa mara si mabomu hayo anayowabutulia wenzake.


Nahisi mama kisha mstukia anamlia timing tu.
 
Nasikia ni mnoko sana kwa wizara nyingine,kwa position yake yeye anaonana na mama mara kwa mara si mabomu hayo anayowabutulia wenzake.


Nahisi mama kisha mstukia anamlia timing tu.
Siyo kwamba utolewe kwa ku under perform? Ila sababu ni vibomu! Ukute Faiza we ndo mama SAMIA 😂 tunajibizana anonymously maana alisema anapitia sana JF
 
Unaemwambia ndio huyo hasikii wala haoni kwa mnayoongea ninyi wananchi
Mama ana macho na masikio makubwa sana, muone vile vile tu.

Leo lazima apite JF kutazama hali ya hewa.
 
Inawezekana ni mambo yake ya kidini tu huyu.
 
Sasa ukisema wewe hivi, sisi tutasemaje!! Jamaa ni mjivuni sana.
 
Mama ana macho na masikio makubwa sana, muone vile vile tu.

Leo lazima apite JF kutazama hali ya hewa.
Mh! Hujiulizi tu issue ya tozo ilitokea wapi na wananchi waliongea nn kabla ya kuamua tu bora liende baada ya kuona wanampigia mbuzi gitaa. Mgomo wa wafanyabiashara kariakoo walivyoketi na Waziri Mkuu pale Anatolgo pia hukufuatilia sio. Ingekuwa kuchukua hatua angeshachukua kote huko lakini..... Mnampigia kelele tu bora mnyamaze
 

Leo ndo umeshtuka? Kipenzi chako mvaa dera na baibui ndo anaeendesha mambo haya ya hovyo, so usimilaumu Dr mlaumu huyohuyo. Mana kila kukicha unamtolea marehemu lugha mbaya isiyofaa basi sasa mseme na huyo aliehai kwa hichi kinachoendelea TZ bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…