BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Acha tu mkuu mimi niliwahipigwa tukio mpaka naenda kaburini sijikusahau!Kabisa Mkuu, wengi tumewahi kupitia hayo
Kama hayupo, basi ajiangalie katika Uzee wake
Unless uwe mtu wa hit and run, hakuna kujenga kibanda
Usiku mmoja, then hakuna kujuana kesho
Wenzie tumefikia level ya kumkatia tiketi ya ndege ya go and returnTatizo lake seran anajua nyie ni wale wanaume zake wanaoshinda wanabet bila kula 😹😹😹
Hajui nyie level za kina Lugumi.
Huyu mtoto anachezea fuko la pesa shauri zake..!!
serikali ni wale wale tu, ndo maana hata ishu ya DNA hawako serious wanajua watawavuruga wananchi wakeLengo la mtoa mada ni kufikisha ujumbe, sasa ni jitihada za wasiofikwa na haya matukio kuchukua tahadhali
Lakini Serikali ikiweza iweke control ya hizo Kazi za Kliniki
Ni janga kubwa kwasasa
Tunapoelekea wanaweza kupanga chumba mtaa wa 12 huku yeye akiishi mtaa wa 7 kwaajili ya kuhifadhi hizo Kadiuliwekaje kadi tano kwenye bahasha moja mkuu? moja weka kabatini, nyingine uvunguni, nyingine ndani ya wigi .... hukuwa serious kabisa
Hakuna udhibiti wa hayo makadi kabisaserikali ni wale wale tu, ndo maana hata ishu ya DNA hawako serious wanajua watawavuruga wananchi wake
Presha ikipanda unaulizwa password ya akaunti zako😅 Nipo tayari kufia eneo la tukio kuliko kupitwa na hizo raha
Presha ikinipanda katikati ya tukio, unajua Cha kufanya. Ni kunipa dawa zangu tu 🤪
Mzee unataka kupima oil😂😂Pitia basi tufanye Ukaguzi Mjukuu 😅
Hiyo tepetepe umefanya misuli isimame 🤗
Huo muda haupo hiyo kazi atafanya bimkubwaKuwa na huruma na Wazee 😅
Ukiona hiyo hali, we chukua maiki uanze kuniimbia nyimbo
Kwa jinsi ulivyo fundi, nitaamka tu 🤗
Ndiomaana nipo hapa kujifunza kutokana na makosa kama hayo yasitokee tena🤦🏽♀️uliwekaje kadi tano kwenye bahasha moja mkuu? moja weka kabatini, nyingine uvunguni, nyingine ndani ya wigi .... hukuwa serious kabisa
Kulikuwa na haja gani ya kuwa na idadi yote hiyo ya Kadi wakati Baba ni mmoja?Umenikumbusha mbali Mimi Hadi najifungua nilikuwa na Kadi 5 za clinic ila Baba mmoja jamani
Haijawahi kutokea😂 labda ulimwengu wa zamani..Naingiza kichwa tu 😎
Vijana wenyewe machokoraa wanuka mbupu hawajui kutengeneza hata mia, unaweza kujiua kwa hasira *****Kinachouma ni kushea kei na Vijana