Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mim kumfurahisha mtu kwa jambo naloliona ni uongo siwezi, niliwai kujikaza kuwafurahisha wazaz lakini nilishindwa.

Wachukie, wasononeke, wapanik, ilo watajijua wao maana ni Jambo langu private, hata Huyo Mungu wao mbona kawafunza kuwa imani ni jambo la mtu na Mungu na sio watu na Mungu? Yaan hakuna mtu anaruhusiwa kukuingilia wew na Mungu wako kivyovyote vile.

Kusema kuwa unakuwa humtii mzazi kisa umegoma kufuata masharti yake ya kwenda kanisan unakuwa umekosea, maana kama ni hivyo basi hata waganga wanapolazimisha kuwarithisha uganga watoto zao nao wanakuwa wako sahihi maana watoto watatakiwa kutii kwa mujibu wa Wafia dini jinsi wanavyotaka kutuaminisha.

Kaza fuvu mpaka wao wakubaliane na wew, nasio wew ukubaliane nao, huu ndio ukwel mchungu, hizo dini ni angamizo la akili na Roho, huwezi kuwa timamu kwa kushika dini.

Afrika bila dini ingekuwa mbali sana
Nakuelewa but tatizo wazazi wangu wameenda age, huyu ana presha kabisa....akisononeka sana anaumwa kabisa.
So nafanya kwa afya yake tu.
 
Back
Top Bottom