Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Ukisikiliza kwa makini yule mzee anamhakikishia mtukufu kuwa hatakufa
ataishi miaka mingi kama wale wazee wengine..
Nauliza kwani nani amesema atakufa!?
Yule mwingine anasema mambo labda yakiharibika sana ndio tutarajie
mabadiliko 2025, je ni ccm(cham cha mambuzi) wote wanaweza kuvumilia mpaka yaharibike sana
ili kubadilisha mtukufu au ni yeye ndiye huwa anawabadilisha watukufu
kwa hiyo anauhakika bila yeye kusema mambo yameharibika sana hakuna kitakacho badilika.
Mwisho, mambo ili yaharibike sana yanatakiwa yawaje!?
Hizi kauli za wazuri hawafi, mungu(sio Mungu) kaamua ugomvi, na wazee tulisema hapana
zina maana gani!?
Je ccm huwa kuna mungu(sio Mungu) amabaye huwa anaamua ugomvi anaamua
nani afe na nani aishi milele!?
Wazee wapi waliosema hapana enzi zile!?
Naomba majibu wakuu
Enewei wazuri wataishi milele....
Umetumia code adi kunifanya nisielewe
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
 
Kikwete kafanya hayo kwenye utawala wake.
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Mpumbavu katika ubora wako....,
Kule sodoma na gomola watu yawezekana waliombea sana viongozi wao ili waendeleze ufirauni wao.
Eniwei huyo mungu anayesubria watu waamue wewe ni mwema na flani ni mbaya, yeye hajui ni kichaa mwenzako
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Hii kauli itamtafuna Maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom