Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
The good day younger,
 
Hii kauli itamtafuna Maisha yake yote mpaka watoto wake.
 
Hii nchi sio yenu. Hili ni taifa la watanzania. Chochote kinaweza kutokea.

Hii ni pumba.

Makamba SR.jpg
 
Ukisikiliza kwa makini yule mzee anamhakikishia mtukufu kuwa hatakufa
ataishi miaka mingi kama wale wazee wengine..
Nauliza kwani nani amesema atakufa!?
Yule mwingine anasema mambo labda yakiharibika sana ndio tutarajie
mabadiliko 2025, je ni ccm(cham cha mambuzi) wote wanaweza kuvumilia mpaka yaharibike sana
ili kubadilisha mtukufu au ni yeye ndiye huwa anawabadilisha watukufu
kwa hiyo anauhakika bila yeye kusema mambo yameharibika sana hakuna kitakacho badilika.
Mwisho, mambo ili yaharibike sana yanatakiwa yawaje!?
Hizi kauli za wazuri hawafi, mungu(sio Mungu) kaamua ugomvi, na wazee tulisema hapana
zina maana gani!?
Je ccm huwa kuna mungu(sio Mungu) amabaye huwa anaamua ugomvi anaamua
nani afe na nani aishi milele!?
Wazee wapi waliosema hapana enzi zile!?
Naomba majibu wakuu
Enewei wazuri wataishi milele....
BAVICHA WIKI HII MMEPATA AJENDA..!!!
 
Vijambo vidogo vidogo vya kupoteza muda tu

Ile clip akimkaripia mwandishi wa habari aiseh!!

Ilikuwa kauli ya kimamlaka Sana ile kana kwamba Sasa ana uhakika Sana na hatma ya replica kushika hatamu!

Bahati nzuri moyo wangu unanihakikishia kwamba wale jamaa watakata mashina kwanza Ili ku prune matawi iwe rahisi Sana!!
 
Back
Top Bottom