Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Kauli mbaya kuwahi kuisikia tangu mwaka uanze.
Udikteta siyo mzuri. Huyo jiwe wenu alikuwa mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania tangu dunia kuumbwa.

Mjifumze. Mkiyapata madaraka msivimbe vichwa.

Siku nikibahatika kukwmata mic mtajuta kunifahamu kwa nmna nitakavyomtukwnw Magufuli
 
Kagame yuko hai, museveni yuko hai, Nyerere hatunae tena, Karume hayupo, wala uhai sio kitu cha kutolea mfano wowote, watoto wao kua na vyeo wasipofushwe macho mambo hubadilika saa na muda wowote
Time will tell .huyu ajuza kika akishika mic ni kumwaga utopiro kwenye umati.
 
Udikteta siyo mzuri. Huyo jiwe wenu alikuwa mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania tangu dunia kuumbwa.

Mjifumze. Mkiyapata madaraka msivimbe vichwa.

Siku nikibahatika kukwmata mic mtajuta kunifahamu kwa nmna nitakavyomtukwnw Magufuli
Nani akupe Mic mdogo wangu
 
Hapana kuteleza mkuu...lao moja .. he meant every word he said....

Jiulize why is he comfortable saying those words mbele ya mwenyekiti....

Ndio viongozi wetu hawa wanaotuongoza...na kinachoumiza zaidi ni wenzetu wanaCCM walalahoi wanatusaliti kwa bahasha ya khaki wanatupitishia mafisadi hawa kuiongoza nchi....
Iposiku watasema na mchawi aliye muua
 
Hata Kama huwezi ongea kuwa alikufa Kwa sababu mbaya mbele ya mkewe na watoto pengine...Utu uzima ni Busara

..hilo ni fundisho kwa sisi tuliobaki.

..kabla ya kufanya jambo lolote tujiulize madhara yanayoweza kutokea kwetu, kwa familia zetu, na jamii kwa ujumla.

..unaweza kudhani jambo fulani halina madhara kwako, lakini ujiulize halitakuwa na madhara kwa familia yako utakapokuwa haupo.

..fikiria alichomfanyia Lissu. Familia yake ikimuangalia Lissu kuwa amekuwa mlemavu na aliyesababisha ni Mzee wao wanajisikiaje?
 
Back
Top Bottom