Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Yupo Dodoma na alijiandaa kuhudhuria lakini alipata mafua akashindwa kuhudhuria. Aliandika barua kwa mwenyekiti kuelezea yaliyomsibu. Naona uzee umemzidia mzee wetu.Mzee mwinyi mbona kimya atie neno nchi ipone
Wazee waliamuaSiri zote watazitapika tu kidogokidogo.
Hivi Magufuli alifariki au aliuwawa?
Binamu umeanza ebu niache bwanaHivi binadamu niliwahi kukuambia kwamba kicheko chako ni very amazing?!
Umeua bwashee 😂Sio kila mzee ana busara
Umetumia code adi kunifanya nisieleweUkisikiliza kwa makini yule mzee anamhakikishia mtukufu kuwa hatakufa
ataishi miaka mingi kama wale wazee wengine..
Nauliza kwani nani amesema atakufa!?
Yule mwingine anasema mambo labda yakiharibika sana ndio tutarajie
mabadiliko 2025, je ni ccm(cham cha mambuzi) wote wanaweza kuvumilia mpaka yaharibike sana
ili kubadilisha mtukufu au ni yeye ndiye huwa anawabadilisha watukufu
kwa hiyo anauhakika bila yeye kusema mambo yameharibika sana hakuna kitakacho badilika.
Mwisho, mambo ili yaharibike sana yanatakiwa yawaje!?
Hizi kauli za wazuri hawafi, mungu(sio Mungu) kaamua ugomvi, na wazee tulisema hapana
zina maana gani!?
Je ccm huwa kuna mungu(sio Mungu) amabaye huwa anaamua ugomvi anaamua
nani afe na nani aishi milele!?
Wazee wapi waliosema hapana enzi zile!?
Naomba majibu wakuu
Enewei wazuri wataishi milele....
Kama ilivyo ya kaka yetu Ben8 haikumuwacha.Damu ya mtu haiwezi kuwaacha hivihivi.
Mimi ninapomuona babangu, huwa naogopa sana uzee huku nikimuomba Mungu kama uzee wenyewe ndo inakuwa hivi basi kabla sijafikia huko bora tu akanipumzishe...Mungu atupe Hekma na uvumulivu uzeeni maana mimi nayaona haya kwa umri wangu huu ila sijamfikia huyo mzee
Unanionea binamu....Binamu umeanza ebu niache bwana
Binamu utakuja kule kwetu [emoji1787] huku nisije nikapewa ban napaogopa sanaUnanionea binamu....
Mi sipendi ujue!!
Kikwete kafanya hayo kwenye utawala wake.Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao
Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Mpumbavu katika ubora wako....,Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao
Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Hii kauli itamtafuna Maisha yake yote.Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao
Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Na siku akifa tutajua kuwa nae alikuwa mbaya ndio mana kafa Ila huyu mzee jamani uswahili wa tanga utamsgharimuHii kauli itamtafuna Maisha yake yote.