ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Hata Kama huwezi ongea kuwa alikufa Kwa sababu mbaya mbele ya mkewe na watoto pengine...Utu uzima ni Busara..Magufuli alikuwa kiongozi mbaya.
..Tukio lake dhidi ya Lissu ni kielelezo alikuwa mtu wa aina gani.
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Mwambie lissu arudi basi mana mtesi wake keshakufa anaogopa nini?
Kagame yuko hai, museveni yuko hai, Nyerere hatunae tena, Karume hayupo, wala uhai sio kitu cha kutolea mfano wowote, watoto wao kua na vyeo wasipofushwe macho mambo hubadilika saa na muda wowote
Udikteta siyo mzuri. Huyo jiwe wenu alikuwa mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania tangu dunia kuumbwa.Kauli mbaya kuwahi kuisikia tangu mwaka uanze.
Huyu mzee ni next...niko hapa mtanambia...nazima redioHii nchi sio yenu. Hili ni taifa la watanzania. Chochote kinaweza kutokea
Hii ni pumba.
View attachment 2439965
Yoga
Time will tell .huyu ajuza kika akishika mic ni kumwaga utopiro kwenye umati.Kagame yuko hai, museveni yuko hai, Nyerere hatunae tena, Karume hayupo, wala uhai sio kitu cha kutolea mfano wowote, watoto wao kua na vyeo wasipofushwe macho mambo hubadilika saa na muda wowote
huyu mzee hadi unajiuliza alipewaje ukatibu mkuu maana uwezo wa kufikiri uko chini mno.Yaani Mzee makamba, Mwijaku, Baba levo, Aristote, Issa azam, h Baba , hao ndio kundi la machawa yaani uchawa unatafuna akili
Hii nchi sio yenu. Hili ni taifa la watanzania. Chochote kinaweza kutokea
Hii ni pumba.
View attachment 2439965
Nani akupe Mic mdogo wanguUdikteta siyo mzuri. Huyo jiwe wenu alikuwa mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania tangu dunia kuumbwa.
Mjifumze. Mkiyapata madaraka msivimbe vichwa.
Siku nikibahatika kukwmata mic mtajuta kunifahamu kwa nmna nitakavyomtukwnw Magufuli
Iposiku watasema na mchawi aliye muuaHapana kuteleza mkuu...lao moja .. he meant every word he said....
Jiulize why is he comfortable saying those words mbele ya mwenyekiti....
Ndio viongozi wetu hawa wanaotuongoza...na kinachoumiza zaidi ni wenzetu wanaCCM walalahoi wanatusaliti kwa bahasha ya khaki wanatupitishia mafisadi hawa kuiongoza nchi....
Hata Kama huwezi ongea kuwa alikufa Kwa sababu mbaya mbele ya mkewe na watoto pengine...Utu uzima ni Busara
Kwa hiyo.JPM.alikufa kwa kuwa alikuwa.mtu mbaya ?.Mzee Makamba ana kauli za hovyo hovyo.
Wameanza, taratibuIposiku watasema na mchawi aliye muua
Iposiku watasema na mchawi aliye muua