Jpm alimkomboa nani?Katika lipi?Ameleta nini hiko kisichoonekana ambacho unakiona wewe tu?Kama ni barabara zote zinazounganisha mikoa zilijengwa na Kikwete,Fuatilia flyover zile uone zilianza kujengwa lini.Mwisho wa yote mkombozi ni MUNGU(YAHWEH) peke yakeNinachojua mimi " watu wema hawadumu" angalia JPM ambae alikuwa mkombozi wa Tz hakudumu. Labda Mungu alitaka akaongoze malaika wake.
Yesu kusurubiwa msalabani alikuwa kiumbe mbaya sana ndio maana alikufa msalabani,?kadhalika mtume Muhammad hatuko naye naye alikuwa kiumbe mbaya.?Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao
Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Unapata wapi nguvu za kumjibia, kwani ye hajiwezi?Acheni kuingilia kazi za Mungu kwake hana nzuri wala mbaya ni wetu site... mnapata wapi nguvu za kusema uchafu huo?
Ukubwa sio kuwa ndio busara. Ama alikuwa anapiga vijembe anamaanisha mwingine. Naweza nikamtukana mtu Ila tusi likapitia kwako. Ni sawa na mke kupiga mtt amechukia umemuudhi.Kauli mbaya kuwahi kuisikia tangu mwaka uanze.
Makamba mzee siyo thinker on his feet.Sasa anafanya payback kwa marehemu?!
Hiyo ni zaidi ya kukosa busara kwa mtu wa umri na kariba yake...
Ninachokiona ni kauli za kujipendekeza in favor of mwanae...
Na ukichanganya na tabia yake ya uropokaji, busara inabaki kwenye mfuko wa koti!
And as long as mwanae bila shaka bado anautamani Urais...
And as long as bado wote wapo hai...
Basi turajie tena na tena kuzisikia kauli za ovyo namna hii...
Sokoine alikuwa Katili wewe,eti wemaHii nchi sio yenu. Hili ni taifa la watanzania. Chochote kinaweza kutokea
Hii ni pumba.
View attachment 2439965
Kama ulichoandika ndo unakiishi basi hatuna budi kukubaliana na Hali ya nchi yetu.Siku zote binadamu anapanga yake na Mungu ameshapanga yake.
Kesho ipo mbali Sana kwetu sisi binadamu,,
Tusiifikirie kesho kutwa kabla hatujaimaliza Leo..
2025 ni mbali Sana.
Sio kwa ajili ya dhalimu.
Hajakosea, akili yako imeshindwa pambanua alichokimaanisha.Yesu kusurubiwa msalabani alikuwa kiumbe mbaya sana ndio maana alikufa msalabani,?kadhalika mtume Muhammad hatuko naye naye alikuwa kiumbe mbaya.?
Kinachonishangaza nyie vijana ni wapumbavu mpaka mmepitiliza,yaani hujaamini huyo kibabu kakosea na pengine medula imecheza,wewe ni utoko wa govi
WeWe unajuwa kesho?Kama ulichoandika ndo unakiishi basi hatuna budi kukubaliana na Hali ya nchi yetu.
Huyo mzee msen&e tu.Ukumbuke kwa kauli ya makamba kama uliwahi kufiwa na ndugu, jamaa au rafiki basi alikua mbaya maajabu hayo
Hao aliowasifia keshawaua tayari. Unampangia Mungu wewe? Mungu atamuonyesha huyu babu kuwa hajui chochoteSasa mtu kama huyu hizo chuki zake kwa Magufuli utasema ni kwa sababu ya nia njema kwa nchi na watanzania? Jana katoka kuongea maneno ya dharau yasio wapendeza watanzania halafu leo anasema watu wazuri hawafi na mfano wa hao watu wazuri ni JK na Kinana kwamba wapo hai hawajafa kwa sababu ni watu wazuri!!!
Sa Muhammad mla 'vitrotro' vidogo aliombewa na nani?Kwahiyo Kikwete mwenye 70+ ndie mzuri zaidi na ndie anaombewa dua zaidi kuliko Mtume Muhammad ambae alifariki akiwa 63?!
Kwahiyo Anataka Kusema Mzilankende Hakuwa Kwenye Wazuri
Kesho ni IJUMAA bwashee usikompliketi mambo!WeWe unajuwa kesho?
Sasa kwann uzungumzie 2025 ,,
kwani unajuwa Mungu amepanga nn?
Huwa tunasema Mungu akipenda.
INSHALLAH
Naona huyu mzee ana mpango wa kutuvurugia Krismas zetu na mwaka mpya; anataka tumtukane ili tujiondolee thawabu!Kauli mbaya kuwahi kuisikia tangu mwaka uanze.