Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Ninachojua mimi " watu wema hawadumu" angalia JPM ambae alikuwa mkombozi wa Tz hakudumu. Labda Mungu alitaka akaongoze malaika wake.
Jpm alimkomboa nani?Katika lipi?Ameleta nini hiko kisichoonekana ambacho unakiona wewe tu?Kama ni barabara zote zinazounganisha mikoa zilijengwa na Kikwete,Fuatilia flyover zile uone zilianza kujengwa lini.Mwisho wa yote mkombozi ni MUNGU(YAHWEH) peke yake
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Yesu kusurubiwa msalabani alikuwa kiumbe mbaya sana ndio maana alikufa msalabani,?kadhalika mtume Muhammad hatuko naye naye alikuwa kiumbe mbaya.?


Kinachonishangaza nyie vijana ni wapumbavu mpaka mmepitiliza,yaani hujaamini huyo kibabu kakosea na pengine medula imecheza,wewe ni utoko wa govi
 
Kauli mbaya kuwahi kuisikia tangu mwaka uanze.
Ukubwa sio kuwa ndio busara. Ama alikuwa anapiga vijembe anamaanisha mwingine. Naweza nikamtukana mtu Ila tusi likapitia kwako. Ni sawa na mke kupiga mtt amechukia umemuudhi.
Ila huyu mzee amechemsha na akaonyesha alivyobebwa kwa kujipendekeza. Ila sio kwa busara hii haoni Kama anamuibisha. So Mungu akimchukua ndio maneno yake yatakuwa yameumba ama
 
Sasa anafanya payback kwa marehemu?!

Hiyo ni zaidi ya kukosa busara kwa mtu wa umri na kariba yake...

Ninachokiona ni kauli za kujipendekeza in favor of mwanae...

Na ukichanganya na tabia yake ya uropokaji, busara inabaki kwenye mfuko wa koti!

And as long as mwanae bila shaka bado anautamani Urais...

And as long as bado wote wapo hai...

Basi turajie tena na tena kuzisikia kauli za ovyo namna hii...
Makamba mzee siyo thinker on his feet.
Leo siyo siri kajiaibisha kiasi fulani.
Kuongea bila kufikiri kuna madhara yake.
 
Siku zote binadamu anapanga yake na Mungu ameshapanga yake.

Kesho ipo mbali Sana kwetu sisi binadamu,,
Tusiifikirie kesho kutwa kabla hatujaimaliza Leo..

2025 ni mbali Sana.
Kama ulichoandika ndo unakiishi basi hatuna budi kukubaliana na Hali ya nchi yetu.
 
Yesu kusurubiwa msalabani alikuwa kiumbe mbaya sana ndio maana alikufa msalabani,?kadhalika mtume Muhammad hatuko naye naye alikuwa kiumbe mbaya.?


Kinachonishangaza nyie vijana ni wapumbavu mpaka mmepitiliza,yaani hujaamini huyo kibabu kakosea na pengine medula imecheza,wewe ni utoko wa govi
Hajakosea, akili yako imeshindwa pambanua alichokimaanisha.
 
Kama ulichoandika ndo unakiishi basi hatuna budi kukubaliana na Hali ya nchi yetu.
WeWe unajuwa kesho?

Sasa kwann uzungumzie 2025 ,,
kwani unajuwa Mungu amepanga nn?

Huwa tunasema Mungu akipenda.
INSHALLAH
 
Ukumbuke kwa kauli ya makamba kama uliwahi kufiwa na ndugu, jamaa au rafiki basi alikua mbaya maajabu hayo
Huyo mzee msen&e tu.
Sokoine alikufa akiwa kijana, ina maana alikuwa mbaya?
Mwalimu alikufa, yeye makamba au hata hao majizi kina kikwete na mzee ndovu ni wazuri kiasi gani kumzidi?
Ni heri ukose mali lakini uwe na akili na hekima.
 
Sasa mtu kama huyu hizo chuki zake kwa Magufuli utasema ni kwa sababu ya nia njema kwa nchi na watanzania? Jana katoka kuongea maneno ya dharau yasio wapendeza watanzania halafu leo anasema watu wazuri hawafi na mfano wa hao watu wazuri ni JK na Kinana kwamba wapo hai hawajafa kwa sababu ni watu wazuri!!!
Hao aliowasifia keshawaua tayari. Unampangia Mungu wewe? Mungu atamuonyesha huyu babu kuwa hajui chochote
 
Daaaahh inamaana wao ndy wazuri ndy maana wamekula chumvi sana [emoji26][emoji26]
 
Kwahiyo Kikwete mwenye 70+ ndie mzuri zaidi na ndie anaombewa dua zaidi kuliko Mtume Muhammad ambae alifariki akiwa 63?!
Sa Muhammad mla 'vitrotro' vidogo aliombewa na nani?
 
Ndio mjue baadhi ya viongozi wetu ni nduhu kichwani. Hiki ni kielelezo cha aina ya viongozi wetu.

Sio kila mzee ana busara, hata wahuni nao wanazeeka.
 
Kwahiyo Anataka Kusema Mzilankende Hakuwa Kwenye Wazuri

Kwa Jinsi JIKONO JANDAMA alivyowafanyizia kina Makamba Snr na Kinana aiseee wana haki ya kuongea hayo maneno,ukinyang'anywa tonge lazima utamchukia aliyekunyang'anya tonge.
 
Back
Top Bottom