Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Hicho ndio kizazi cha uchawi wazee hawana nasaha zozote njema kwa chama toka wadukuliwe. Umbea wao kama wanawake wamekua watu wa hovyo unamsema marehemu ambaye hawezi kujitetea ajabu hii
Mwenye asili yake haachi. hao anaojifanya anawasifia wakimpa mgongo anakandamiza vile vile.
Vizee kama hivi maisha yao yote vimeishi kwa majungu na unafiki kiasi kwamba wanaamini bili uzandiki hawawezi kuishi.
 
Hajamtaja magu
 
Mwenye asili yake haachi. hao anaojifanya anawasifia wakimpa mgongo anakandamiza vile vile.
Vizee kama hivi maisha yao yote vimeishi kwa majungu na unafiki kiasi kwamba wanaamini bili uzandiki hawawezi kuishi.

Mzee mbumbumbu hao ndio huitwa wazee hovyo kabisa, unadhani magufuli hana wafuasi huko kwenye mkutano? Kosa yadumishe umoja ni kisababisha mipasuko
 
Mzee anazeeka vibaya
Nyerere
Mkapa
Jpm
Sokoine
Na wengineo ni watu wabaya sio?
 
Magufuli wenu sikumpenda hata kidogo baada ya kuanza kuua watu hovyo na kuona upinzani ni uadui, lakini lazima nikiri kuwa watu wanafiki kama huyu ndiyo alitakiwa awafanye kitu kibaya kabisa ikibidi awapoteze. Angekuwa amewashughulikia na kuona upinzani ni washirika wake Tanzania ingekuwa mahali pazuri sana leo. Maskini hakujua kuwa maadui wake halisi ni wana CCM wenzake. Huyu mzee anawakilisha mawazo ya akina Kinana, Kikwete na wengine wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…