Kifo cha uzeeniKwani mwisho wa mwanadamu ni wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo cha uzeeniKwani mwisho wa mwanadamu ni wapi?
Mwenye asili yake haachi. hao anaojifanya anawasifia wakimpa mgongo anakandamiza vile vile.Hicho ndio kizazi cha uchawi wazee hawana nasaha zozote njema kwa chama toka wadukuliwe. Umbea wao kama wanawake wamekua watu wa hovyo unamsema marehemu ambaye hawezi kujitetea ajabu hii
Hajamtaja maguSasa mtu kama huyu hizo chuki zake kwa Magufuli utasema ni kwa sababu ya nia njema kwa nchi na watanzania? Jana katoka kuongea maneno ya dharau yasio wapendeza watanzania halafu leo anasema watu wazuri hawafi na mfano wa hao watu wazuri ni JK na Kinana kwamba wapo hai hawajafa kwa sababu ni watu wazuri!!!
Duh......imebidi michele tu!Kwa hiyo mtume Mohamed alikufa kwa sababu hakuwa mtu mzuri angekuwa mtu mzuri angeishi hadi leo
mazambi yake ndio yalimfanya afe
Mwenye asili yake haachi. hao anaojifanya anawasifia wakimpa mgongo anakandamiza vile vile.
Vizee kama hivi maisha yao yote vimeishi kwa majungu na unafiki kiasi kwamba wanaamini bili uzandiki hawawezi kuishi.
Kufiwa kvp yani fafanua maana hakuna asiyefiwa?Ukumbuke kwa kauli ya makamba kama uliwahi kufiwa na ndugu, jamaa au rafiki basi alikua mbaya maajabu hayo
Mzee anazeeka vibayaMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Source TBC
Duh !Ana maanisha hadi SAsa watawala wa Kikristo ndio waliokufa
Magufuli wenu sikumpenda hata kidogo baada ya kuanza kuua watu hovyo na kuona upinzani ni uadui, lakini lazima nikiri kuwa watu wanafiki kama huyu ndiyo alitakiwa awafanye kitu kibaya kabisa ikibidi awapoteze. Angekuwa amewashughulikia na kuona upinzani ni washirika wake Tanzania ingekuwa mahali pazuri sana leo. Maskini hakujua kuwa maadui wake halisi ni wana CCM wenzake. Huyu mzee anawakilisha mawazo ya akina Kinana, Kikwete na wengine wengi.Sasa mtu kama huyu hizo chuki zake kwa Magufuli utasema ni kwa sababu ya nia njema kwa nchi na watanzania? Jana katoka kuongea maneno ya dharau yasio wapendeza watanzania halafu leo anasema watu wazuri hawafi na mfano wa hao watu wazuri ni JK na Kinana kwamba wapo hai hawajafa kwa sababu ni watu wazuri!!!
Kuongea sana ni kujishushia hadhi aisee ebu ajizeekee vizuriYaani mzee akili zimekua za kitoto sana asidhani yeye atadumu milele,
Kufiwa kvp yani fafanua maana hakuna asiyefiwa?
Umemlisha manenoMimi nimemtaja.
Kuongea sana ni kujishushia hadhi aisee ebu ajizeekee vizuri
Hao ni kundi la wanaopendwa.Kagame yuko hai, museveni yuko hai