Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Huyo mnasemaga mzee Makamba ni mtu wa hovyo sana basi tu ni kwa sababu hii nchi wanaCCM wanajiamini zaidi kwenye ujinga jinga tu muda wote.Yeye Makamba hawezi kufa kwa sababu ni mzuri na atakuwepo kwenye serikali ya mwaka 2080 na atatoa speech tuombe uzima ss wabaya.
 
Sijui alikuwa kwenye kiwango gani cha fikra wakati akitoa kauli hio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa. Najiuliza alikuwa anawaz nn kusema maneno yake ktk ya wajumbe elf 3000 wa chma chake na kupigiwa makofi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa. Najiuliza alikuwa anawaz nn kusema maneno yake ktk ya wajumbe elf 3000 wa chma chake na kupigiwa makofi
CCM kupiga makofi ni jadi yao, yule kama aliyewaita chama cha mambuzi waliishia kupiga makofi
 
mwaka 2080
Naweza nikawa nisiwepo hio 2080 na huu uzee nilionao yaan hapa mgongo na Miguu havina ushirikiano kabisa kuna muda nashindwa hata kupumua mbavu zinanibana vibaya sana, nimeshaanza kupungukiwa na idadi ya Meno kwenye kinywa changu wajukuu zangu nimezeeka Babu yenu
 
Mzee Makamba! Unahaja ya kujitokeza kuonyesha kuhudhunishwa na kauli yako hii na kisha kumuomba msamaha Mwenyezi Mungu na Watanzania wote watakaoendelea kufa na waliokufa

Kwenye hiki ulichokisema, kitaendelea kukufedhehesha saana mzee mpaka nawe utakapingia kaburini
 
Mtu mzuri anakufa na umri mkubwa sio unakufa na miaka 55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…