Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

ni kweli matendo maovu dhidi ya binaadamu wenzio yatakupelekea ufe haraka au upate maradhi au ajali. hivyo ukiwa na roho mbaya dhidi ya binaadamu wenzio tegemea kifo kina kunyemelea.
 
The good die younger!
 

Attachments

  • P-IMG-20221209-WA0096.jpg
    P-IMG-20221209-WA0096.jpg
    30.4 KB · Views: 8
Mzee Makamba hana siku nyingi hapa duniani. Mwenyezi Mungu huwa hadhihakiwi wala hapangiwi na ndio maana huwa tunasema “ Kazi ya Mola haina makosa”

Hili zee huwa linabwabwaja mpaka linapitiliza. Mama Samia hakuwa na haja ya kujitokeza kujifanya anarekebisha ile kauli. Makamba meant what he said
Karma itawatesa sana kwa mabaya waliyo wafanyia watu wengi tu !!
 
Tuombeane afya na kauli njema kwa binadamu wenzetu

Kuna wazee wengine ni nuksi ila ndio tabia tuwaombee tu
Yale yanayofanywa nyuma ya pazia ni mabaya zaidi kuliko hizo kauli za hadharani !! Wapo watu wengi wana majeraha makubwa ndani ya mioyo yao !! Ndio maana tunasema Karma imeanza kutenda. !!
 
Hata wabaya huwa hawadumu.
Hata IIBILISI ataishi sana duniani ,,
MUNGU ataua viumbe vyote atamuacha IBILISI pekee wa mwisho DUNIANI...

Vibaya vinaishi sana Ili binaadamu tuzidi kupata mitihani ya duniani.
 
Huyu mzee kweli kateleza unajua kwenye umati wa watu usitake kuongea ili ufurahishe watu maana unaweza fanya hivyo ukihisi unawafurahisha kumbe unakose ana kuleta uhasama usio na tija hata kama waliopita hawakua na mema je yeye ni mwema au mwanae feb ni mwema mbona ana toto halina uelewa wa mambo ya siasa na tupo kimya uchawa kwa sisiemu usifanye mtu ukasahau nguvu ya muumba
 
Mzee wetu aliwataja akina Mzee Kikwete na Mzee Kinana kuwa wako hai kwakuwa ni watu wazuri lakini kwasababu ya muda hakuwataja wale waliokufa kwasababu ni watu wabaya. Tumuombe amalizie kuwataja wale wabaya waliokufa.

Natoa hoja.
 
Back
Top Bottom