Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Hicho ndio kizazi cha uchawi wazee hawana nasaha zozote njema kwa chama toka wadukuliwe. Umbea wao kama wanawake wamekua watu wa hovyo unamsema marehemu ambaye hawezi kujitetea ajabu hii
Magu aliwajua hawa wazee ni wachawi,wabinafsi na wanafiki mno ndio maana aliwakwepa na alijua kwamba ni kikwazo kwa maendeleo ya nchi.
 
Inamaana yeye hatakufa?kenge huyu,
Anataka kusema hao mbulukenge wa ccm,ni watu
Wazuri kuliko Martin Luther king,Mandela,Chris han,Sokoine,
 
Kitu kimoja nakipenda kuhusu jiwe ni kwamba kawanyoosha walamba asali mpaka leo wengine wanakuwa "emotional"
Yupo kaburini lakini wala asali huku wanalia lia, huyu Mzee aliwahi kuwa na cheo kikubwa hapo chama cha mambuzi alafu analia kwao hakuna maji
 
Hii kauli kateleza ulimi. Tumsamehe ni mzee wetu. Naomba sana tena mjadala usimhusishe aliyekuwa Rais wetu Dk. Magufuli. Siyo jambo zuri na halipendezi🙏🙏🙏
 
Umri wa babake Makamba ulisababisha afariki. Lkn jiwe alikuwa bado mdogo kiumri kuliko hata Kikwete, ubaya umemfanya awahi kufa.
Kifo hakina umri ndio maana hata Watoto wadogo hufariki, makamba amewahi kufiwa na mjukuu wake. Unataka kusema mjukuu nae alikua mbaya? Ameteleza na uzuri mama Samia kamrekebisha hiyo kauli
 
Magu aliwajua hawa wazee ni wachawi,wabinafsi na wanafiki mno ndio maana aliwakwepa na alijua kwamba ni kikwazo kwa maendeleo ya nchi.
Mtanisamehe kwa hii comment yangu ila lazima niseme

Hicho kizee ni kama demu aliyechapwa sana alafu jamaa akasepa bila kumuoa sasa ana makasiriko

Nasema hivi kwa sababu jiwe aliropoka siku moja kwamba kilimtext kujipendekeza haku reply
 
Amemaanisha KIKWETE, MAKAMBA na KINANA, hawatoona MAUTI Kamwe Hadi Masihi arudi😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…