Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Ninachojua mimi " watu wema hawadumu" angalia JPM ambae alikuwa mkombozi wa Tz hakudumu. Labda Mungu alitaka akaongoze malaika wake.

Acha kumdhihaki Mungu. Ameikomboa Tanzania kutokana wapi?. Magufuli ana chawa na Samiah ana chawa kila mmoja anaongea ujinga.
 

Kosa la magufuli ni kupambana na CHADEMA mpaka mwisho wakati CHADEMA hawakuwa maadui zake, tena CHADEMA ndio walipiga kelele kuhusu kifo chake.
 
Watu wabaya ndio huwafi haraka maana MUNGU anawaacha ili wapate nafasi ya kutubu. Watu wazuri wanakufa haraka, MUNGU anawachukua ili wasije kumtenda uovu wakaikosa mbingu.

Sio kweli, watu wabaya Kama vibaka na majambazi wanaochomwa Moto kila siku huwa wanaachwa watubu. Kuna watu Mungu huwaondoa ili wasiendelee kuumiza wengine.
 
Hivi ccm kwanini huwa wanalazimika kumpa nafasi ya kuongea huyu mzee?
Kipindi kilichopita aliongea mpaka leo neno lake lile limeleta athari kubwa sana kwa wote ccm na serikalini.
Leo tena ameongea neno gumu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…